Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 4,151
- 4,277
- Thread starter
- #41
African philosophyKwenye mdegree hapana kazi tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
African philosophyKwenye mdegree hapana kazi tena
Kulawiti na kubaka sio kigezo cha kuruhusu uholela wa uvaaji mavazi.Tabia ya mtu sio mavazi wala huwezi kumjua mtu kwa tabia za njee ndio maana kuna mapadri wanalawiti na kubaka!
Be positive bro.Watafeli..
Kwenye hili kuna watu watakwazika sana na hili hasa wale wenye kupenda kula kwa macho. Lakini mbona kanzu haipo kwenye mavazi yaliyokatazwa wala mavazi yaliyokubaliwa?Leo nimefarijika sana kuona Udsm by laws ikiradidi maelekezo kutoka kwenye nyaraka mbalimbali za watumishi wa Umma kuwa kuanzia sasa ni muhimu kuzingatia maelekezo ya nyaraka za mavazi.
View attachment 1249955
Tuone itakavyosaidia kutoa wahitimu wanaotosheleza soko kwa viwango vinavyotakiwa katika ujuzi na kuutumia kuleta mabadiliko.Leo nimefarijika sana kuona Udsm by laws ikiradidi maelekezo kutoka kwenye nyaraka mbalimbali za watumishi wa Umma kuwa kuanzia sasa ni muhimu kuzingatia maelekezo ya nyaraka za mavazi.
View attachment 1249955
Watu wanazeeshwa kabla ya wakatiHuu ni ulimbukeni, waache vijana wale maisha, wakati nyinyi mnasoma nani aliwaekea hizo sheria ? mwanafunzi anatakiwa awe comfortable awe huru, subirini wakienda huko makazini watavaa mnavyotaka.
Hicho chuo ndicho pekee cha kimataifa hapa nchini hayo ma dress code ya nini!?
Students au Wafanyakazi.!?
Hypocrisy....they should let students be students,teenagers be teenagers!
Be positive bro.
If you plan to fail, you fail.
Tuwatie moyo wataweza kwani Hekima zao ndio Uhuru wao.
Leo nimefarijika sana kuona Udsm by laws ikiradidi maelekezo kutoka kwenye nyaraka mbalimbali za watumishi wa Umma kuwa kuanzia sasa ni muhimu kuzingatia maelekezo ya nyaraka za mavazi.
View attachment 1249955
What is the funny part of being a student if you can’t wear a pair of jeans .