Hatimaye Chuo cha Dar es Salaam kimeanza kuzingatia uvaaji wa mavazi kwa wanafunzi

Kwa mujibu wa tangazo, inaonekana dressing code inawahusu wafanyakazi tu, lkn wakifanya hivyo kwa wanafunzi itakuwa sio mbaya. Utafurahia kunuona binti au kijana wako wa kiume anakuvalia hivyo nyumbani kwako?

Vv
Soma vizuri hayo maandishi madogo hapo chini ya tangazo mkuu
 
Hicho chuo ndicho pekee cha kimataifa hapa nchini hayo ma dress code ya nini!?
 
Leo nimefarijika sana kuona Udsm by laws ikiradidi maelekezo kutoka kwenye nyaraka mbalimbali za watumishi wa Umma kuwa kuanzia sasa ni muhimu kuzingatia maelekezo ya nyaraka za mavazi.
View attachment 1249955


Je zina apply kwa watoa huduma pekee au na wapokea huduma? Kama ni kwa wote pamoja na wapokea huduma basi safi sana maana kuna mabinti wanavaa kimtegomtego sana vitovu vinachungulia wapitanjia
 
Ukiangalia vizuri picha walengwa hasa ni Wafrika,hata hivyo inaweza kuwa mfano pia na kwa wageni.
Itafutwe taswira nyingine ya uwakirishi kwa wote.
 
Sisi kila kitu tunakuwaga wa mwisho kugutuka [emoji3]
 
Leo nimefarijika sana kuona Udsm by laws ikiradidi maelekezo kutoka kwenye nyaraka mbalimbali za watumishi wa Umma kuwa kuanzia sasa ni muhimu kuzingatia maelekezo ya nyaraka za mavazi.
View attachment 1249955
Nimepita leo mkuu nimeona ila watazingua nilikua napenda washkaji wanavaa wanavyotaka tatizo lipo kwa dada zetu nilikua nachukia sana chuo chetu IFM kuzingatia dressing code
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…