JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
True, you have made a milestone and there you're to overcome,( new), challenges with Young Africans sports club, (Yanga) , rather to share experiences with Yanga family
Tutamualika.Nasubiria hapa nione mwaliko kutoka 5imba,wakimualika Chama hiyo Agosti tatu.Au watamchunia maana yy ndio kawapa Thanks you.
Msimu ule mlilalamika sana kwa Mkude, haya mpeni mwaliko aje kuwaaga.
Tunasubiri,ila mmemnyima thank you.Tutamualika.
Peace and love 💕PEACE
Hatari sana.Jamaa kawapa Thank you Simba
Huon kwani, angalia mbele ya neno yanga bado kaweka alama ya simba. 🦁 alama kama hiyoHaya wale wachambuzi waliosema kwamba bado profile inasomeka simba waje watoe comment.
Mbona kulikuwa na tetesi kuwa amesaini Timu 2 (Simba na Yanga)!Tunasubiri,ila mmemnyima thank you.
Tunamtakia maisha mema huko nyuma mwiko hatuna deni naye.
Amen Amen akaribie kwa kishindo