Hatimaye Clatous Chama awaaga rasmi Simba, ajitambulisha kuwa Mchezaji wa Yanga

Hatimaye Clatous Chama awaaga rasmi Simba, ajitambulisha kuwa Mchezaji wa Yanga

Mbona kulikuwa na tetesi kuwa amesaini Timu 2 (Simba na Yanga)!
Simba hawezi kufanya huo uhuni, kwani wangekuwa na shida naye wangemalizana naye kabla hata ya miezi sita iliyopita. Ukurasa wa Chama na Simba ulifungwa rasmi tarehe 30 June 2024
 
Kawaheshimu sana,makolo sio waelewa kabisa wao wamekunjaa Jamaa Hana noma amemove on.
 
Kuagana kunaumiza sanaa.....yaani good bye kabisaa
 
Back
Top Bottom