Hatimaye Clatous Chama awaaga rasmi Simba, ajitambulisha kuwa Mchezaji wa Yanga

Nikiwa kama shabiki lia lia wa Young Africans, namkaribisha kwa mikono miwili, na pia namtakia mafanikio mema katika maisha yake mapya.

Na hii ifahamike wazi michezo ni kama siasa! Hakuna adui wa kudumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…