Hatimaye David Kafulila akabidhi ofisi, aendelea kusisitiza Rais Samia hakamatiki utekelezaji wa Ilani, amtaja kuvunja rekodi ya miaka 20 kwenye maji

Kama kuna RC alimwelewa na kumwelezea Vizuri Rais Samia kwa Umma basi ni Kafulila

Hamu yangu RCs waige mazuri ya Kafulila hasa kusema mazuri ya Rais wetu na Serikali anayoiongoza.
Kama yanavyoonekana mabaya na mazuri pia hivyo hivyo sio hadi atokee mtu wa kuyasemea.
 
VIVA SAMIA VIVA

BIL 400 MAJI SIMIYU


πŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘Š
 
Eh Bwana Yesu usinisahau katika ufalme wako wa mbinguni
 
Hakika David Kafulila mwamba wa Escrow, au mwanasiasa msema kwa utafiti ameeleza vizuri na hakika tumeelewa, uchambuzi kuhusu sekta ya maji upande wa Mkoa wa Simiyu imejieleza vizuri, asante mwamba wa Escrow endelea kuelimisha Watu wajue Rais wetu Mama Samia Anaupiga Mwingiiiiiii sanaaa.
 
Utasikia anatafuta uteuzi tena.. Machadomo na masukuma gang ni majinga Sana huwa yanachukua Rais akisifiwa kwa mema,huu ni Uchawi wa live..
 
Hakika, tumefurahi
 
Kwa nini katumbuliwa?
 
Haya yote ni kutekeleza maelekezo ya Mhe Rais Samia Suluhu Hassan,

#Naendelea kusisitiza hakuna kama Rais Samia Suluhu Hassan
 
Watu wanaendelea kuomba teuzi maana hiyo ndio qualifications aliyoacha jiwe kwa watu wenye uwezo mdogo kufikiri nakuendesha maisha yao! wanawaza teuzi mpaka umauti
 
Kama kuna RC alimwelewa na kumwelezea Vizuri Rais Samia kwa Umma basi ni Kafulila

Hamu yangu RCs waige mazuri ya Kafulila hasa kusema mazuri ya Rais wetu na Serikali anayoiongoza.
Kwanini Unadhani watu hawana akili kujua jema na baya mpaka waambiwe na kafulila
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…