Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,630
- 47,434
Acheni huo ujinga.Kafulila mbona anasemwa kwa mazuri kila kona ya Tanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acheni huo ujinga.Kafulila mbona anasemwa kwa mazuri kila kona ya Tanzania
Stroke unadhani watu wanamtetea Rais Samia au Kafulila?Acheni huo ujinga.
Kama yanavyoonekana mabaya na mazuri pia hivyo hivyo sio hadi atokee mtu wa kuyasemea.Kama kuna RC alimwelewa na kumwelezea Vizuri Rais Samia kwa Umma basi ni Kafulila
Hamu yangu RCs waige mazuri ya Kafulila hasa kusema mazuri ya Rais wetu na Serikali anayoiongoza.
"RAIS SAMIA AMEVUNJA REKODI YA MIAKA 20 SEKTA YA MAJI, AMEOKOA TRILIONI 3 AMBAZO ZINGETUMIKA KUTIBU MAGONJWA YATOKANAYO NA UKOSEFU WA MAJI."
Aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Simiyu, Mhe David Kafulila amesema Rais Samia Suluhu Hassan amevunja rekodi ya utekelezaji wa bajeti ya maji ya miaka ishirini mfululizo iliyopita,
Mhe David Kafulila anasema, wakati nakuja Simiyu baada ya kuaminiwa na Rais Samia Suluhu Hassan nilikuta kero kubwa kuliko zote kwa Mkoa wa Simiyu ni " Maji "
Leo Mwaka mmoja huu niliokaa hapa tumeshirikiana kusimamia mabilioni ya fedha za miradi ya maji ninyi nyote mtakuwa mashahidi wangu,
Leo naondoka Mkoa Simiyu wote tunaona tatizo la maji limepungua sana hapa lazima tumshukuru Sana na kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan,
Simiyu upatikanaji wa maji safi na salama kwa mwaka 2020/21 nilikuta ni asilimia 56% leo tumefikia asilimia 73% na hii ni kufikia Juni 2022 lazima wana Simiyu kumshukuru Sana Rais Samia Suluhu Hassan,
Lakini Rais Samia huyu huyu tayari ametuletea mradi mkubwa wa bomba la kilometa 190 kutoka ziwa victoria wenye thamani ya Shilingi billioni 400.
Ndugu zangu Wanasimiyu mradi huu utapita zaidi ya vijiji vyenu 200 ambao kazi za awali nadhani mnaona zimeanza,Asanteni Sana kwa ushirikiano wenu huu mkubwa,
Kafulila anaendelea kusema, Niwambie ukweli, Nimesoma bajeti za miradi ya maji za miaka 20 mfululizo kuanzia ile ya mwaka 2000 mpaka ya mwaka 2020,
Nataka niwaambie kwa miaka yote hii hakuna mwaka ambao fedha za miradi ya maji zilitolewa hata kwa asilimia 80%.
Lazima mfahamu,Bajeti ya kwanza tu ya awamu ya sita( 2021/22) fedha za miradi ya maji zilizotolewa ni billioni 743 sawa na asilimia 95% ya bajeti iliyopitishwa na bunge na hii ni ndani ya miezi 9 tu Sio mwaka.
Huu ni ushahidi mwingine kuwa Rais wetu anatekeleza kauli mbiu yake ya kumtua ndoo mama kichwani kwa vitendo.
Rais Samia anaelewa kuwa maji ni uchumi, maji ni ustaarabu, maji ni afya... Maji ni Uhai,
Mtakumbuka,Ripoti ya shirika la Afya duniani mwaka 2014 ilionesha kuwa kwenye kila dola moja inayowekezwa kwenye maji, inaokoa dola 4.2 ambazo zingetumika kutibu magonjwa yanayotokana na ukosefu wa maji safi na salama( UN- News, Nov19, 2014).
Hivyo hivyo billioni 743 za miradi ya maji katika mwaka mmoja wa Rais Samia wa 2021/22 ni sawa na kusema Rais wetu kaokoa Shilingi trilioni 3.1 ambazo zingetumika kutibu magonjwa yatokanayo na ukosefu wa maji.
Kafulila anaendelea kusema, Labda niwakumbushe tu kwamba utafiti uliofanywa na taasisi ya SYNOVATE mwaka 2008 ulionesha kuwa kero namba moja kwa mtazania ni maji.
Msiojua,SYNOVATE ni taasisi 5 kwa sayansi ya uratibu wa maoni duniani wakati huo kabla haijachukulia na IPSOS ambayo kwa sasa ni moja ya taasisi 3 kubwa duniani kwa kazi hiyo(OPINION SURVEY).
Mkuu huyu wa mkoa anasema, Hiki ni kielelezo kuwa Kiongozi anaetatua tatizo la maji anagusa maisha ya watanzania walio wengi na hasa vijijini ambao inawezekana hawana kelele nyingi kwenye mitandao..wanaitwa ' silent majority'..Hivyo tunaposema Mama anaupiga mwingi sio sisi ni takwimu za kitafiti.
Hivyo tuendelee kuwasaidia wananchi kwa kuhakikisha wakandarasi wanatekeleza mikataba na tuendelee kuvunja mikataba ya wababaishaji kama tulivyofanya siku zote kuhakikisha kuwa fedha anazoleta Mhe.Rais kukabili kero ya maji zinafanya kazi kwelikweli,
Hayo yamesemwa na aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Simiyu Mhe David Kafulila leo wakati wa makabidhiano ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa kati yake na Mkuu wa Mkoa Mpya Dr Yahaya Mawanda ambapo mbali ya kueleza sura ya Mkoa wa Simiyu, Kafulila ameleza pia maamuzi 9 ya kimkakati aliyotekeleza ndani ya mwaka mmoja na mwezi 1 wa Utumishi wake katika nafasi ya hiyo ya Mkuu wa Mkoa huo wa Simiyu
Eh Bwana Yesu usinisahau katika ufalme wako wa mbinguni"RAIS SAMIA AMEVUNJA REKODI YA MIAKA 20 SEKTA YA MAJI, AMEOKOA TRILIONI 3 AMBAZO ZINGETUMIKA KUTIBU MAGONJWA YATOKANAYO NA UKOSEFU WA MAJI."

Utasikia anatafuta uteuzi tena.. Machadomo na masukuma gang ni majinga Sana huwa yanachukua Rais akisifiwa kwa mema,huu ni Uchawi wa live.."RAIS SAMIA AMEVUNJA REKODI YA MIAKA 20 SEKTA YA MAJI, AMEOKOA TRILIONI 3 AMBAZO ZINGETUMIKA KUTIBU MAGONJWA YATOKANAYO NA UKOSEFU WA MAJI."

😁😁😁Ila unayawezeaga Sana mjombaUtasikia anatafuta uteuzi tena.. Machadomo na masukuma gang ni majinga Sana huwa yanachukua Rais akisifiwa kwa mema,huu ni Uchawi wa live..
Hakika, tumefurahiHakika David Kafulila mwamba wa Escrow, au mwanasiasa msema kwa utafiti ameeleza vizuri na hakika tumeelewa, uchambuzi kuhusu sekta ya maji upande wa Mkoa wa Simiyu imejieleza vizuri, asante mwamba wa Escrow endelea kuelimisha Watu wajue Rais wetu Mama Samia Anaupiga Mwingiiiiiii sanaaa.
Ivi kweli, Kafulila ni maneno matupu?
1. Kuvunja mkataba na CHICCO baada ya kuteengeneza barabara chini ya kiwango na kuokoa fedha za serikali 15bilioni ni maneno matupu haya?
2. Ivi kweli kuzui michomoko iliyoua maelfu Tanzania ni maneno matupu?
3. Ivi kweli Kuongeza bei ya pamba toka 800/kg mpaka 1,800/kg haya ni maneno matupu?
4. Ivi kweli kukamata wezi wa Pamba na kuwafunga na wengine kujinyonga ni haya ni maneno matupu?
5. Kumnyang'anya kada wa CCM yaani MNEC soko la madini alilolimiliki kinyume cha sheria haya ni maneno matupu?
Let's be serious guys Kafulila ni asset kwa Taifa letu,
Ova.
Huyu anapangiwa kazi nyingineKwa nini katumbuliwa?
Haya yote ni kutekeleza maelekezo ya Mhe Rais Samia Suluhu Hassan,Ivi kweli, Kafulila ni maneno matupu?
1. Kuvunja mkataba na CHICCO baada ya kuteengeneza barabara chini ya kiwango na kuokoa fedha za serikali 15bilioni ni maneno matupu haya?
2. Ivi kweli kuzui michomoko iliyoua maelfu Tanzania ni maneno matupu?
3. Ivi kweli Kuongeza bei ya pamba toka 800/kg mpaka 1,800/kg haya ni maneno matupu?
4. Ivi kweli kukamata wezi wa Pamba na kuwafunga na wengine kujinyonga ni haya ni maneno matupu?
5. Kumnyang'anya kada wa CCM yaani MNEC soko la madini alilolimiliki kinyume cha sheria haya ni maneno matupu?
Let's be serious guys Kafulila ni asset kwa Taifa letu,
Ova.
🙏🙏🙏RCs lazima waige mazuri ya Kafulila hasa ya kumsemea Rais Samia Suluhu HassanHuyu anapangiwa kazi nyingine
Done chief,Picha?
Samia ametoa pesa hatari 😍😍BILL 400 MAJI SIMIYU,
DAAH ILA MAZA ANAPIGA MZIGO
😍😍VIVA SAMIA VIVA, CCM USHINDI LAZIMA 2025
Watu wanaendelea kuomba teuzi maana hiyo ndio qualifications aliyoacha jiwe kwa watu wenye uwezo mdogo kufikiri nakuendesha maisha yao! wanawaza teuzi mpaka umauti"RAIS SAMIA AMEVUNJA REKODI YA MIAKA 20 SEKTA YA MAJI, AMEOKOA TRILIONI 3 AMBAZO ZINGETUMIKA KUTIBU MAGONJWA YATOKANAYO NA UKOSEFU WA MAJI."
View attachment 2318672
Aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Simiyu, Mhe David Kafulila amesema Rais Samia Suluhu Hassan amevunja rekodi ya utekelezaji wa bajeti ya maji ya miaka ishirini mfululizo iliyopita,
Mhe David Kafulila anasema, wakati nakuja Simiyu baada ya kuaminiwa na Rais Samia Suluhu Hassan nilikuta kero kubwa kuliko zote kwa Mkoa wa Simiyu ni " Maji "
View attachment 2318673
Leo Mwaka mmoja huu niliokaa hapa tumeshirikiana kusimamia mabilioni ya fedha za miradi ya maji ninyi nyote mtakuwa mashahidi wangu,
Leo naondoka Mkoa Simiyu wote tunaona tatizo la maji limepungua sana hapa lazima tumshukuru Sana na kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan,
View attachment 2318674
Simiyu upatikanaji wa maji safi na salama kwa mwaka 2020/21 nilikuta ni asilimia 56% leo tumefikia asilimia 73% na hii ni kufikia Juni 2022 lazima wana Simiyu kumshukuru Sana Rais Samia Suluhu Hassan,
Lakini Rais Samia huyu huyu tayari ametuletea mradi mkubwa wa bomba la kilometa 190 kutoka ziwa victoria wenye thamani ya Shilingi billioni 400.
Ndugu zangu Wanasimiyu mradi huu utapita zaidi ya vijiji vyenu 200 ambao kazi za awali nadhani mnaona zimeanza,Asanteni Sana kwa ushirikiano wenu huu mkubwa,View attachment 2318676
Kafulila anaendelea kusema, Niwambie ukweli, Nimesoma bajeti za miradi ya maji za miaka 20 mfululizo kuanzia ile ya mwaka 2000 mpaka ya mwaka 2020,
Nataka niwaambie kwa miaka yote hii hakuna mwaka ambao fedha za miradi ya maji zilitolewa hata kwa asilimia 80%.
Lazima mfahamu,Bajeti ya kwanza tu ya awamu ya sita( 2021/22) fedha za miradi ya maji zilizotolewa ni billioni 743 sawa na asilimia 95% ya bajeti iliyopitishwa na bunge na hii ni ndani ya miezi 9 tu Sio mwaka.
View attachment 2318677
Huu ni ushahidi mwingine kuwa Rais wetu anatekeleza kauli mbiu yake ya kumtua ndoo mama kichwani kwa vitendo.
Rais Samia anaelewa kuwa maji ni uchumi, maji ni ustaarabu, maji ni afya... Maji ni Uhai,
Mtakumbuka,Ripoti ya shirika la Afya duniani mwaka 2014 ilionesha kuwa kwenye kila dola moja inayowekezwa kwenye maji, inaokoa dola 4.2 ambazo zingetumika kutibu magonjwa yanayotokana na ukosefu wa maji safi na salama( UN- News, Nov19, 2014).
Hivyo hivyo billioni 743 za miradi ya maji katika mwaka mmoja wa Rais Samia wa 2021/22 ni sawa na kusema Rais wetu kaokoa Shilingi trilioni 3.1 ambazo zingetumika kutibu magonjwa yatokanayo na ukosefu wa maji.
Kafulila anaendelea kusema, Labda niwakumbushe tu kwamba utafiti uliofanywa na taasisi ya SYNOVATE mwaka 2008 ulionesha kuwa kero namba moja kwa mtazania ni maji.
Msiojua,SYNOVATE ni taasisi 5 kwa sayansi ya uratibu wa maoni duniani wakati huo kabla haijachukulia na IPSOS ambayo kwa sasa ni moja ya taasisi 3 kubwa duniani kwa kazi hiyo(OPINION SURVEY).
View attachment 2318697
Mkuu huyu wa mkoa anasema, Hiki ni kielelezo kuwa Kiongozi anaetatua tatizo la maji anagusa maisha ya watanzania walio wengi na hasa vijijini ambao inawezekana hawana kelele nyingi kwenye mitandao..wanaitwa ' silent majority'..Hivyo tunaposema Mama anaupiga mwingi sio sisi ni takwimu za kitafiti.
Hivyo tuendelee kuwasaidia wananchi kwa kuhakikisha wakandarasi wanatekeleza mikataba na tuendelee kuvunja mikataba ya wababaishaji kama tulivyofanya siku zote kuhakikisha kuwa fedha anazoleta Mhe.Rais kukabili kero ya maji zinafanya kazi kwelikweli,
View attachment 2318678
Hayo yamesemwa na aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Simiyu Mhe David Kafulila leo wakati wa makabidhiano ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa kati yake na Mkuu wa Mkoa Mpya Dr Yahaya Mawanda ambapo mbali ya kueleza sura ya Mkoa wa Simiyu, Kafulila ameleza pia maamuzi 9 ya kimkakati aliyotekeleza ndani ya mwaka mmoja na mwezi 1 wa Utumishi wake katika nafasi ya hiyo ya Mkuu wa Mkoa huo wa Simiyu
Kwanini Unadhani watu hawana akili kujua jema na baya mpaka waambiwe na kafulilaKama kuna RC alimwelewa na kumwelezea Vizuri Rais Samia kwa Umma basi ni Kafulila