Hatimaye David Kafulila akabidhi ofisi, aendelea kusisitiza Rais Samia hakamatiki utekelezaji wa Ilani, amtaja kuvunja rekodi ya miaka 20 kwenye maji

Watu wanaendelea kuomba teuzi maana hiyo ndio qualifications aliyoacha jiwe kwa watu wenye uwezo mdogo kufikiri nakuendesha maisha yao! wanawaza teuzi mpaka umauti
Am not sure but huyu Kafulila hii kampeni ameifanya tangu akiwa RC
 
Ukiona Rais anafanya maamuzi na wanaofurahia ni hawa CHADEMA nadhani hayo maamuzi yanawapa nafuu wao kama Upinzani,

#Naamimi Kafulila anapelekwa juu na Mama ili kuwanyoosha vizuri.Time will tell
Hapi,Kafulila na Kabriel Upinzani umefurahi Sana kuondoka kwao ni kweli,
 
Watu wanaendelea kuomba teuzi maana hiyo ndio qualifications aliyoacha jiwe kwa watu wenye uwezo mdogo kufikiri nakuendesha maisha yao! wanawaza teuzi mpaka umauti
Unadhani "UTEUZI " ni jambo baya?

Yani kila anayemtetea Mhe Rais basi anataka uteuzi, shame on you
 
Asante Mama Samia kwa 400B za maji Simiyu, We love you mama
 
===
Kama kuna RC alimwelewa na kumwelezea Vizuri Rais Samia kwa Umma basi ni huyu Kafulila

Hamu yangu RCs waige mazuri ya Kafulila hasa kusema mazuri ya Rais wetu na Serikali anayoiongoza.

Hebu angalia hii ni kazi ya Rais Samia kwa mkoa mmoja tu Simiyu ,

Yule anayebisha Rais Samia kiboko yao anashida kubwa ya akili
VIVA SAMIA VIVA CCM VIVA
 
✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️
 
Si
Sifa tz hii ndo zitakuvusha tu , anajua vizuri Kafulila halifanyalo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…