Rais wa Matajiri
JF-Expert Member
- Sep 14, 2018
- 1,522
- 643
Bila kusikia wataaminije?Kwanini Unadhani watu hawana akili kujua jema na baya mpaka waambiwe na kafulila
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila kusikia wataaminije?Kwanini Unadhani watu hawana akili kujua jema na baya mpaka waambiwe na kafulila
Am not sure but huyu Kafulila hii kampeni ameifanya tangu akiwa RCWatu wanaendelea kuomba teuzi maana hiyo ndio qualifications aliyoacha jiwe kwa watu wenye uwezo mdogo kufikiri nakuendesha maisha yao! wanawaza teuzi mpaka umauti
Hapi,Kafulila na Kabriel Upinzani umefurahi Sana kuondoka kwao ni kweli,Ukiona Rais anafanya maamuzi na wanaofurahia ni hawa CHADEMA nadhani hayo maamuzi yanawapa nafuu wao kama Upinzani,
#Naamimi Kafulila anapelekwa juu na Mama ili kuwanyoosha vizuri.Time will tell
Unadhani "UTEUZI " ni jambo baya?Watu wanaendelea kuomba teuzi maana hiyo ndio qualifications aliyoacha jiwe kwa watu wenye uwezo mdogo kufikiri nakuendesha maisha yao! wanawaza teuzi mpaka umauti
😃😃 Waliwabana ukiona hivyoHapi,Kafulila na Kabriel Upinzani umefurahi Sana kuondoka kwao ni kweli,
Asante Mama Samia kwa 400B za maji Simiyu, We love you mama"RAIS SAMIA AMEVUNJA REKODI YA MIAKA 20 SEKTA YA MAJI, AMEOKOA TRILIONI 3 AMBAZO ZINGETUMIKA KUTIBU MAGONJWA YATOKANAYO NA UKOSEFU WA MAJI."
View attachment 2318672
Mhe David Kafulila akimkabidhi Katiba Mkuu wa Mkoa mpya Mhe Dkt Yahya Mawanda kama nyenzo yake ya kufanyia maamuzi
Aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Simiyu, Mhe David Kafulila amesema Rais Samia Suluhu Hassan amevunja rekodi ya utekelezaji wa bajeti ya maji ya miaka ishirini ( 20 ) mfululizo iliyopita,
Mhe David Kafulila ambaye uteuzi wake ulitenguliwa hivi majuzi anasema, " Wakati nakuja Simiyu kama mkuu wa mkoa baada ya kuaminiwa na Rais Samia Suluhu Hassan nilikuta kero kubwa kuliko zote kwa Mkoa wa Simiyu ni " Maji ""
View attachment 2318673
Mhe David Kafulila anaendelea kusema, Leo Mwaka mmoja huu niliokaa hapa tumeshirikiana kusimamia vizuri Sana mabilioni ya fedha za miradi ya maji zilizoletwa Mkoa wa Simiyu na Rais wetu Mhe Samia Suluhu Hassan ninyi nyote mtakuwa mashahidi wangu,
Kafulila anaendelea kusema,Leo naondoka Mkoa Simiyu wote tunaona tatizo la maji limepungua sana hapa lazima tumshukuru Sana na kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan,
View attachment 2318674
Simiyu upatikanaji wa maji safi na salama kwa mwaka 2020/21 nilikuta ni asilimia 56% leo tumefikia asilimia 73% na hii ni kufikia Juni 2022 lazima wana Simiyu kumshukuru Sana Rais Samia Suluhu Hassan,
Kafulila anasema, Lakini Rais Samia huyu huyu tayari ametuletea mradi mkubwa wa bomba la kilometa 190 kutoka ziwa Victoria wenye thamani ya Shilingi billioni 400.
Ndugu zangu Wanasimiyu mradi huu utapita zaidi ya vijiji vyenu 200 ambao kazi za awali nadhani mnaona zimeanza,Asanteni Sana kwa ushirikiano wenu huu mkubwa,
View attachment 2318676
Mhe David Kafulila akikishukuru Chama cha Mapinduzi mkoa wa Simiyu kwa ushirikiano katika kuitekeleza Ilani ya Uchaguzi 2020/25
Kafulila anaendelea kusema, Niwambie ukweli, Nimesoma bajeti za miradi ya maji za miaka 20 mfululizo kuanzia ile ya mwaka 2000 mpaka ya mwaka 2020,
Nataka niwaambie kwa miaka yote hii hakuna mwaka ambao fedha za miradi ya maji zilitolewa hata kwa asilimia 80%.
Lazima mfahamu,Bajeti ya kwanza tu ya awamu ya sita( 2021/22) fedha za miradi ya maji zilizotolewa ni billioni 743 sawa na asilimia 95% ya bajeti iliyopitishwa na bunge na hii ni ndani ya miezi 9 tu Sio mwaka.
View attachment 2318677
Mhe David Kafulila akimkabidhi Mkuu mpya wa Mkoa "SIMIYU MODEL" inayotamka kuwa "IF NO CASH THEN NO COTTON-SIMIYU"
Mhe Kafulila anaendelea kusema,Huu ni ushahidi mwingine kuwa Rais wetu anatekeleza kauli mbiu yake ya kumtua ndoo mama kichwani kwa vitendo.
Rais Samia anaelewa kuwa maji ni uchumi, maji ni ustaarabu, maji ni afya... Maji ni Uhai,
Mtakumbuka,Ripoti ya shirika la Afya duniani mwaka 2014 ilionesha kuwa kwenye kila dola moja inayowekezwa kwenye maji, inaokoa dola 4.2 ambazo zingetumika kutibu magonjwa yanayotokana na ukosefu wa maji safi na salama( UN- News, Nov19, 2014).
Hivyo hivyo billioni 743 za miradi ya maji katika mwaka mmoja wa Rais Samia wa 2021/22 ni sawa na kusema Rais wetu kaokoa Shilingi trilioni 3.1 ambazo zingetumika kutibu magonjwa yatokanayo na ukosefu wa maji.
Kafulila anaendelea kusema, Labda niwakumbushe tu kwamba utafiti uliofanywa na taasisi ya SYNOVATE mwaka 2008 ulionesha kuwa kero namba moja kwa mtazania ni maji.
Msiojua,SYNOVATE ni taasisi 5 kwa sayansi ya uratibu wa maoni duniani wakati huo kabla haijachukulia na IPSOS ambayo kwa sasa ni moja ya taasisi 3 kubwa duniani kwa kazi hiyo(OPINION SURVEY).
View attachment 2318697
Mkuu huyu wa mkoa anasema, Hiki ni kielelezo kuwa Kiongozi anaetatua tatizo la maji anagusa maisha ya watanzania walio wengi na hasa vijijini ambao inawezekana hawana kelele nyingi kwenye mitandao..wanaitwa ' silent majority'..Hivyo tunaposema Mama anaupiga mwingi sio sisi ni takwimu za kitafiti.
Hivyo tuendelee kuwasaidia wananchi kwa kuhakikisha wakandarasi wanatekeleza mikataba na tuendelee kuvunja mikataba ya wababaishaji kama tulivyofanya siku zote kuhakikisha kuwa fedha anazoleta Mhe.Rais kukabili kero ya maji zinafanya kazi kwelikweli,
View attachment 2318678
Mhe Dkt Yahya Mawanda akiwalisha wafanyakazi wenzake keki kama ishara ya unyenyekevu wake kwao
Hayo yamesemwa na aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Simiyu Mhe David Kafulila leo wakati wa makabidhiano ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa kati yake na Mkuu wa Mkoa Mpya Dr Yahaya Mawanda ambapo mbali ya kueleza sura ya Mkoa wa Simiyu, Kafulila ameleza pia maamuzi tisa ( 9 ) ya kimkakati aliyotekeleza ndani ya mwaka mmoja na mwezi mmoja wa Utumishi wake katika nafasi ya hiyo ya Mkuu wa Mkoa huo wa Simiyu.
😂😂😂Akajitahidi sasa huko aendako kuongeza bei ya mafuta (petroli) kutoka Tshs. 3,440/= kwa lita mpaka Tshs. 4,820/= kwa lita.
Wewe si Mwanahabari wa Taifa ,wewe ni kilaza wa Taifa.Viva Samia Viva, CCM Ushindi Lazima 2021
Asante ,nimerekebishaWewe si Mwanahabari wa Taifa ,wewe ni kilaza wa Taifa.
==="RAIS SAMIA AMEVUNJA REKODI YA MIAKA 20 SEKTA YA MAJI, AMEOKOA TRILIONI 3 AMBAZO ZINGETUMIKA KUTIBU MAGONJWA YATOKANAYO NA UKOSEFU WA MAJI."
View attachment 2318672
Mhe David Kafulila akimkabidhi Katiba Mkuu wa Mkoa mpya Mhe Dkt Yahya Mawanda kama nyenzo yake ya kufanyia maamuzi
Aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Simiyu, Mhe David Kafulila amesema Rais Samia Suluhu Hassan amevunja rekodi ya utekelezaji wa bajeti ya maji ya miaka ishirini ( 20 ) mfululizo iliyopita,
Mhe David Kafulila ambaye uteuzi wake ulitenguliwa na Rais Samia Suluhu Hassan hivi majuzi huku akiwaahidi kuwatumia maeneo mengine anasema, " Wakati nakuja Simiyu kama mkuu wa mkoa baada ya kuaminiwa na Rais Samia Suluhu Hassan nilikuta kero kubwa kuliko zote kwa Mkoa wa Simiyu ni " Maji "
View attachment 2318673
Mhe David Kafulila akiwa katika picha ya pamoja na mkuu mpya wa Mkoa wa Simiyu Mhe Dkt Yahya Mawanda wakati wa makabidhiano ya ofisi
Mhe David Kafulila anaendelea kusema, Leo Mwaka mmoja huu niliokaa hapa tumeshirikiana kusimamia vizuri Sana mabilioni ya fedha za miradi ya maji zilizoletwa Mkoa wa Simiyu na Rais wetu Mhe Samia Suluhu Hassan ninyi nyote mtakuwa mashahidi wangu,
Kafulila anaendelea kusema,Leo naondoka Mkoa Simiyu wote tunaona tatizo la maji limepungua sana hapa lazima tumshukuru Sana na kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan,
View attachment 2318674
Simiyu upatikanaji wa maji safi na salama kwa mwaka 2020/21 nilikuta ni asilimia 56% leo tumefikia asilimia 73% na hii ni kufikia Juni 2022 lazima wana Simiyu kumshukuru Sana Rais Samia Suluhu Hassan,
Kafulila anasema, Lakini Rais Samia huyu huyu tayari ametuletea mradi mkubwa wa bomba la kilometa 190 kutoka ziwa Victoria wenye thamani ya Shilingi billioni 400.
Ndugu zangu Wanasimiyu mradi huu utapita zaidi ya vijiji vyenu 200 ambao kazi za awali nadhani mnaona zimeanza,Asanteni Sana kwa ushirikiano wenu huu mkubwa,
View attachment 2318676
Mhe David Kafulila akikishukuru Chama cha Mapinduzi mkoa wa Simiyu kwa ushirikiano katika kuitekeleza Ilani ya Uchaguzi 2020/25
Kafulila anaendelea kusema, Niwambie ukweli, Nimesoma bajeti za miradi ya maji za miaka 20 mfululizo kuanzia ile ya mwaka 2000 mpaka ya mwaka 2020,
Nataka niwaambie kwa miaka yote hii hakuna mwaka ambao fedha za miradi ya maji zilitolewa hata kwa asilimia 80%.
Lazima mfahamu,Bajeti ya kwanza tu ya awamu ya sita( 2021/22) fedha za miradi ya maji zilizotolewa ni billioni 743 sawa na asilimia 95% ya bajeti iliyopitishwa na bunge na hii ni ndani ya miezi 9 tu Sio mwaka.
View attachment 2318677
Mhe David Kafulila akimkabidhi Mkuu mpya wa Mkoa "SIMIYU MODEL" inayotamka kuwa "IF NO CASH THEN NO COTTON-SIMIYU"
Mhe Kafulila anaendelea kusema,Huu ni ushahidi mwingine kuwa Rais wetu anatekeleza kauli mbiu yake ya kumtua ndoo mama kichwani kwa vitendo.
Rais Samia anaelewa kuwa maji ni uchumi, maji ni ustaarabu, maji ni afya... Maji ni Uhai,
Mtakumbuka,Ripoti ya shirika la Afya duniani mwaka 2014 ilionesha kuwa kwenye kila dola moja inayowekezwa kwenye maji, inaokoa dola 4.2 ambazo zingetumika kutibu magonjwa yanayotokana na ukosefu wa maji safi na salama( UN- News, Nov19, 2014).
Hivyo hivyo billioni 743 za miradi ya maji katika mwaka mmoja wa Rais Samia wa 2021/22 ni sawa na kusema Rais wetu kaokoa Shilingi trilioni 3.1 ambazo zingetumika kutibu magonjwa yatokanayo na ukosefu wa maji.
Kafulila anaendelea kusema, Labda niwakumbushe tu kwamba utafiti uliofanywa na taasisi ya SYNOVATE mwaka 2008 ulionesha kuwa kero namba moja kwa mtazania ni maji.
Msiojua,SYNOVATE ni taasisi 5 kwa sayansi ya uratibu wa maoni duniani wakati huo kabla haijachukulia na IPSOS ambayo kwa sasa ni moja ya taasisi 3 kubwa duniani kwa kazi hiyo(OPINION SURVEY).
View attachment 2318697
Mkuu huyu wa mkoa anasema, Hiki ni kielelezo kuwa Kiongozi anaetatua tatizo la maji anagusa maisha ya watanzania walio wengi na hasa vijijini ambao inawezekana hawana kelele nyingi kwenye mitandao..wanaitwa ' silent majority'..Hivyo tunaposema Mama anaupiga mwingi sio sisi ni takwimu za kitafiti.
Hivyo tuendelee kuwasaidia wananchi kwa kuhakikisha wakandarasi wanatekeleza mikataba na tuendelee kuvunja mikataba ya wababaishaji kama tulivyofanya siku zote kuhakikisha kuwa fedha anazoleta Mhe.Rais kukabili kero ya maji zinafanya kazi kwelikweli,
View attachment 2318678
Mhe Dkt Yahya Mawanda akiwalisha wafanyakazi wenzake keki kama ishara ya unyenyekevu wake kwao
Hayo yamesemwa na aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Simiyu Mhe David Kafulila wakati wa makabidhiano ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa kati yake na Mkuu wa Mkoa Mpya Mhe Dr Yahaya Mawanda ambapo mbali ya kueleza sura ya Mkoa wa Simiyu, Kafulila ameelezea pia maamuzi tisa ( 9 ) ya kimkakati aliyoyatekeleza ndani ya mwaka mmoja na mwezi mmoja wa Utumishi wake katika nafasi ya hiyo ya Mkuu wa Mkoa huo wa Simiyu kwa maelekezo ya Rais Samia Suluhu Hassan.
✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️Kama kuna RC alimwelewa na kumwelezea Vizuri Rais Samia kwa Umma basi ni Kafulila
Hamu yangu RCs waige mazuri ya Kafulila hasa kusema mazuri ya Rais wetu na Serikali anayoiongoza.
Hebu angalia hii ni kazi ya Rais Samia kwa mkoa mmoja tu Simiyu ,
Yule anayebisha Rais Samia kiboko yao anashida kubwa ya akili
Katiba mpya ndio dawaJaribu kuchungulia wenzetu pale Kenya, Vyama is nothing but a Nation
Kwa hiyo unavyoona shida ni nini?Katiba hii haina shida hata kidogo,
ID zako mwenyeweNapambwa na nani?
Si ungetulia basi wakati ukisubiri huo 'uteuzi' mwingine'.🙏🙏🙏RCs lazima waige mazuri ya Kafulila hasa ya kumsemea Rais Samia Suluhu Hassan
Sifa tz hii ndo zitakuvusha tu , anajua vizuri Kafulila halifanyaloKama kuna RC alimwelewa na kumwelezea Vizuri Rais Samia kwa Umma basi ni Kafulila
Hamu yangu RCs waige mazuri ya Kafulila hasa kusema mazuri ya Rais wetu na Serikali anayoiongoza.
Hebu angalia hii ni kazi ya Rais Samia kwa mkoa mmoja tu Simiyu ,
Yule anayebisha Rais Samia kiboko yao anashida kubwa ya akili
Huyu Kafulila ni wa hivihivi, tangu hajateuliwa, kateuliwa, kaondolewa jamaa yuko positive Sana kwa RaisPorojo hazitomsaidia chochote