😀😀Kwanini unamchukia Sana Kafulila wee chadema?Sasa akaungane na covid 19 kule Ufipa st
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀Kwanini unamchukia Sana Kafulila wee chadema?Sasa akaungane na covid 19 kule Ufipa st
😀😀Kwanini unamchukia Sana Kafulila wee chademaSasa akaungane na covid 19 kule Ufipa st
CHADEMA ndio zao siku zote, Utasikia kwanini yeye anajifanya anajua Sana kuitetea Serikali😀😀Kwanini unamchukia Sana Kafulila wee chadema
😍😍Ivi kweli, Kafulila ni maneno matupu?
1. Kuvunja mkataba na CHICCO baada ya kuteengeneza barabara chini ya kiwango na kuokoa fedha za serikali 15bilioni ni maneno matupu haya?
2. Ivi kweli kuzui michomoko iliyoua maelfu Tanzania ni maneno matupu?
3. Ivi kweli Kuongeza bei ya pamba toka 800/kg mpaka 1,800/kg haya ni maneno matupu?
4. Ivi kweli kukamata wezi wa Pamba na kuwafunga na wengine kujinyonga ni haya ni maneno matupu?
5. Kumnyang'anya kada wa CCM yaani MNEC soko la madini alilolimiliki kinyume cha sheria haya ni maneno matupu?
Let's be serious guys Kafulila ni asset kwa Taifa letu,
Ova.
Arudi tu kwenye game kwakweli ni mashine Sana jamaaKafulila tumemmis Sana aise
Tuendelee kuchapa kaziArudi tu kwenye game kwakweli ni mashine Sana jamaa
Nchi ngumu Sana hii,Akaishi makaburini chato sasa