Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haters hawajaamka au wanachungulia kwa mbali hii postDiamond ametimiza ndoto yake ya kuwa na ndege binafsi.
Anakuwa msanii wa pili Africa kuwa na private jet.
Mdogo mdogo watakubali tu level za Diamond ni kubwa sana kwa sasa.
Kuna swali naona linaulizwa sana huko insta eti anawezaje kumiliki Jet wakati amepanga nyumba....Soon mtajibiwa kwa vitendo, inaweza ikawa ni kitu kikubwa kuwai tokea Africa nzima. [emoji4][emoji4][emoji4]
View attachment 1762066View attachment 1762065
Pengine upo sahihi lakini kiasi!!! Kwann iyo habari uje leo na ngoma imetoka jana?? Yani wanafanya biashara yao kishamba sana aisee..!!!! Uku mtaa hata sisi tunafanya biashara tungekuwa tunakwenda kwa mwendo wa kiki sijui mtaa ingekuwaje walahi!!! Maana hii taarifa sana hakika nayo" hii ya jet na somjoMtu kutoa ngoma hakuzuii maisha mwingine kuendelea. Huwezi tulia eti kisa ukifanya yako ngoma ya flani hatoenda.
Tukiachana na hilo, huyu mleta post kamlisha maneno jamaa hajanunua ndege. Kumiliki ndege ukuachilia mbali kuinunua, pia kuna gharama nyingi zinazoambana na kuwa nayo.
Sasa hilo swali gani? Kwani wewe ratiba yake ulikuwa unaijua? Ulikuwa unajua kuwa juzi atasafiri kwenda S.A kukaa mwezi? Baada ya kufika S.A ratiba yake ulikuwa unaijua?Pengine upo sahihi lakini kiasi!!! Kwann iyo habari uje leo na ngoma imetoka jana?? Yani wanafanya biashara yao kishamba sana aisee..!!!! Uku mtaa hata sisi tunafanya biashara tungekuwa tunakwenda kwa mwendo wa kiki sijui mtaa ingekuwaje walahi!!! Maana hii taarifa sana hakika nayo" hii ya jet na somjo
mkuu mbona kama umeumia hivi nini shida?Private Jet sio makende kwamba kila mtu anayo!
Unazungumzia more than 30B cash money! Hio hela huyo ndugu yenu hana bana asitafute kiki za ajabu! Maintanace tu ya ndege inaitoa jasho serikali ndio atakuwa huyo fara from Tandale?
Alivyo smart sidhani kama anaweza kununua hiyo ndege.Haters hawajaamka au wanachungulia kwa mbali hii post![]()
Siwezi kuumia kwa uongo ila nimeamua kuwa muwazi tu! Huyo dogo hana hio hela katika vitu ambavyo naweza vi term kama kiki hii ni ya kwanza!mkuu mbona kama umeumia hivi nini shida?
Sasa hilo swali gani? Kwani wewe ratiba yake ulikuwa unaijua? Ulikuwa unajua kuwa juzi atasafiri kwenda S.A kukaa mwezi? Baada ya kufika S.A ratiba yake ulikuwa unaijua?
And by the way kwani ni harmonize aliyetoa ngoma peke yake? Maisha yapo kila siku na kila siku watu wanatoa ngoma. Mbona husemi kuwa kiki zao zinazima ngoma za hao wengine?
Kila mtu afanye maisha yake tu kama anavyoona inafaa. Kama ukitoa ngoma ikafail basi imekataliwa tu.
Comment yangu ya kwanza tu nimekwambia hawezi kuwa kanunua hiyo jet, wala yeye hajaandika kanunua hiyo jet. Mleta post ndivyo kawaza hivyo.Kwaiyo mondi kanunua jet?
bado unaushamba mwingi sana kwahiyo watu wasifanye mambo yao kisa harmonize katoa wimbo serious? yeye kawa nani kwani? kwani wewe huwezi kusikiliza huo wimbo huku ukifuatilia habari ya jet? acha uqmYani hawa jamaa bana wanacho jitaidi nikutuzima ngoma ya harmonize.... Kwaiyo wanaleta mastor mob ili raia wa focus na izi story kwenye mitandao wenyewe wanaita (kiki) pendaneni wasanii wa muziki ili muziki wa Tanzania ufike duniani uko....
Comment yangu ya kwanza tu nimekwambia hawezi kuwa kanunua hiyo jet, wala yeye hajaandika kanunua hiyo jet. Mleta post ndivyo kawaza hivyo.
Hivi ukienda kwenye hotel kubwa ukapiga picha hiyo hotel ukaandika Alhamdulillah, ina maana umeandika nimenunua hii hotel?
Hivi huoni mshamba ni wewe! Yaani kwavile Harmonize kaachia ngoma, basi unatarajia watu wasiandike habari za Diamond? Hivi habari kama hii inazuia vipi watu kuangalia na kuijadili ngoma ya Harmonize? Mtu atatuamia dakika ngapi kusoma na kuijadili hii mada hata ashindwe kwenda kuiangalia hiyo ngoma ambayo na yenyewe haizidi dakika 5?Btw, kwenye hiyo screenshot umeona kuna mahali ameandika kwamba amenunua private jet?Pengine upo sahihi lakini kiasi!!! Kwann iyo habari uje leo na ngoma imetoka jana?? Yani wanafanya biashara yao kishamba sana aisee..!!!! Uku mtaa hata sisi tunafanya biashara tungekuwa tunakwenda kwa mwendo wa kiki sijui mtaa ingekuwaje walahi!!! Maana hii taarifa sana hakika nayo" hii ya jet na somjo
Yeye kaona picha na neno Alhamdulillah, eti kapost diamond kanunua ndege.Kwaiyo mleta Mada atakuwa snitch.... Kutuletea habari za uwongo
Hivi ameleta kiki ipi?Hawamuwez harmonize kwa sasa, yani ukiona wanasubiria harmonize atoe nyimbo ndio alete kiki basi ujue harmonize kwa sasa ni tishio kubwa kwao..na nilijua tu, nilisema kua baada ya nyimbo jana haitapita masaa 24 dogo litakuja na kiki, hata kama sio private jet basi ingetengenezwa kiki kua jamaa ana date na rihanna
Hawamuwez harmonize kwa sasa, yani ukiona wanasubiria harmonize atoe nyimbo ndio alete kiki basi ujue harmonize kwa sasa ni tishio kubwa kwao..na nilijua tu, nilisema kua baada ya nyimbo jana haitapita masaa 24 dogo litakuja na kiki, hata kama sio private jet basi ingetengenezwa kiki kua jamaa ana date na rihanna
Naweza kukubaliana naweAlivyo smart sidhani kama anaweza kununua hiyo ndege.
Itakuwa kaenda kampuni ya kukodisha ndege akafanyie video au aitumie kwa shughuli zake ndo maana kapost tu bila kusema chochote.