Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
naunga mkono hojaDuuh...kiki inatafutwa..
Haaminiki huyu!
nyongo mkalia in[emoji8] [emoji8]Vizur
Kwa comment hii humu ndani kuna haja ya kufanya uhakiki,we sio wa jf.Kwakukosana na babayake hilo linaonesha jinsi alivyo mjinga wawezaje kukosana na baba mzazi kisa maneno yamama hawa wakinamama huwawanamanene maneno sana hasawanapoona watoto wameanzakupata fedha
safi DangoteMsanii Diamond Platnumz amemaliza tofauti na baba yake mzazi na sasa anampa fedha za matumizi anapohitaji
Mwanzoni msanii huyo alikuwa na bifu na mzazi wake huyo kwa sababu alimtelekeza alipokuwa mdogo