Mkuu comment zako na hiyo avatar,huwa vinanifanya niipende jf [emoji1] [emoji2] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji1]Basi sawa hamna shida
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu comment zako na hiyo avatar,huwa vinanifanya niipende jf [emoji1] [emoji2] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji1]Basi sawa hamna shida
Ahahaha sawa mkuuMkuu comment zako na hiyo avatar,huwa vinanifanya niipende jf [emoji1] [emoji2] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji1]
Mjinga akipata kituzo anafunga barabara na kituzo chake badala ya kuwasaidia vijana Wa mtaani kwake,
Juzi nikakuta barabara haipitiki kuuliza kuna nini nikaambiwa huyo Bwege anapita, but hajui anavyowakera watumiaji Wa barabara
Msanii Diamond Platnumz amemaliza tofauti na baba yake mzazi na sasa anampa fedha za matumizi anapohitaji
Mwanzoni msanii huyo alikuwa na bifu na mzazi wake huyo kwa sababu alimtelekeza alipokuwa mdogo
Vipi dada,wamekukera ???Watajijua
Msanii Diamond Platnumz amemaliza tofauti na baba yake mzazi na sasa anampa fedha za matumizi anapohitaji
Mwanzoni msanii huyo alikuwa na bifu na mzazi wake huyo kwa sababu alimtelekeza alipokuwa mdogo
Hahahahahhaha umenichekesha mkuu na umeniwahi piaKwa comment hii humu ndani kuna haja ya kufanya uhakiki,we sio wa jf.
[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]
sawa my sweet kwa heshima
Yako namkabiz kwa alie juu
Amhukumu
Embu relax kidogo mahabuba[emoji8] [emoji8]
[emoji6][emoji6][emoji6]msameh bure tu
Cc No EscapeCo kwa kununa huko
My wife[emoji8] [emoji8]
Nan amekukosesha aman
Nimpeleke kibit
Kweli MuftiNi jambo la msingi kwa Diamond..... Pia ni il'm kwetu sisi Wanaume/ kinababa.
Tukiamua kuwakataa watoto basi tuwakatae moja kwa moja... Sio wakianza kuwa na mafanikio tunaanza kulia lia...
Kwa hiyo Unataka kusema kila Mwanaume aliyetelekeza mtoto amesingiziwa tu kwa sababu akina "Mama wana manenomaneno tu"?Kwakukosana na babayake hilo linaonesha jinsi alivyo mjinga wawezaje kukosana na baba mzazi kisa maneno yamama hawa wakinamama huwawanamanene maneno sana hasawanapoona watoto wameanzakupata fedha
Bongo fleva ni mziki wa uswazi kwa sisi wehu....Mashabiki wake wengi wehu