JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Hatimaye Serikali ya Uingereza imeonesha njia ya wazi kwa Bilionea Roman Abramovich kuiuza Klabu ya Chelsea kwa Todd Boehly kwa paundi bilioni 4.25 (Tsh. Trilioni 12.3) ndani ya saa 24 zijazo
Vyanzo vya ndani zinaeleza kuwa kuna mafanikio makubwa katika mazungumzo wakati huu ambapo pasipoti ya Abramovich inashughulikiwa na Kamisheni ya Ulaya baada ya kuwekewa vikwazo.
Hatua hiyo ilifikiwa baada ya kukubaliwa kuwa deni la paundi billion 1.6 (Tsh bilioni 4.6) ambalo Chelsea inadaiwa na Abramovich halitalikwa kwake wala kwa watoto wake.
Source: SkySports