JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
kuna nadharia nyingi sana zinamuhusu Putin na Abrahimovich Kwamba kwalikuwa majasusi wa KGB lakini ukwel utajulikanaPutin katusababishia upuuzi
Na hiz tetesi kuha uyo Abulahamovichi anakuja tanzania kuhinunuha simba ni zakweri?Hatimaye Serikali ya Uingereza imeonesha njia ya wazi kwa Bilionea Roman Abramovich kuiuza Klabu ya Chelsea kwa Todd Boehly kwa paundi bilioni 4.25 (Tsh. Trilioni 12.3) ndani ya saa 24 zijazo
Vyanzo vya ndani zinaeleza kuwa kuna mafanikio makubwa katika mazungumzo wakati huu ambapo pasipoti ya Abramovich inashughulikiwa na Kamisheni ya Ulaya baada ya kuwekewa vikwazo.
Hatua hiyo ilifikiwa baada ya kukubaliwa kuwa deni la paundi billion 1.6 (Tsh bilioni 4.6) ambalo Chelsea inadaiwa na Abramovich halitalikwa kwake wala kwa watoto wake.
Source: SkySports
Yaani aache timu zote Afrika aje awekekeze kwenye timu ambayo ata CAF wanaitambua Kwa jina la JUJU fc. Yaani aje awekeze Uchawini!!!Na hiz tetesi kuha uyo Abulahamovichi anakuja tanzania kuhinunuha simba ni zakweri?
Ni kweli Abramovich anafikiria kuwekeza timu ya Simba baada ya kuvutiwa na mafanikio ya Simba kwa misimu minne mfululizo.Na hiz tetesi kuha uyo Abulahamovichi anakuja tanzania kuhinunuha simba ni zakweri?
Kwani huyo Abramovich na mmiliki wetu Dr. Mudi nani ni tajiri kumzidi mwenzake?Ni kweli Abramovich anafikiria kuwekeza timu ya Simba baada ya kuvutiwa na mafanikio ya Simba kwa misimu minne mfululizo.
HallelujahNi kweli Abramovich anafikiria kuwekeza timu ya Simba baada ya kuvutiwa na mafanikio ya Simba kwa misimu minne mfululizo.
Pepo toka!Yaani aache timu zote Afrika aje awekekeze kwenye timu ambayo ata CAF wanaitambua Kwa jina la JUJU fc. Yaani aje awekeze Uchawini!!!
Kwani chelsea ilikuwaje kabla hajaja?Yaani aache timu zote Afrika aje awekekeze kwenye timu ambayo ata CAF wanaitambua Kwa jina la JUJU fc. Yaani aje awekeze Uchawini!!!
Juma siku ile alikuwa anafukia nini kutualibia uwanjaYaani aache timu zote Afrika aje awekekeze kwenye timu ambayo ata CAF wanaitambua Kwa jina la JUJU fc. Yaani aje awekeze Uchawini!!!
tulia,mimj na mshkaji tunapiga story kuhusu Abramovich wa Kasulu Kigoma anataka kuweka mzigo unyamani.Kwani huyo Abramovich na mmiliki wetu Dr. Mudi nani ni tajiri kumzidi mwenzake?