Hatimaye Emmanuel Adebayor asilimu

Hatimaye Emmanuel Adebayor asilimu

Status
Not open for further replies.
Msio jitambua msikilizeni kidume...sio udini tuuuu.
Wazungu hawana dini...lakini wakisemwa mnaingiza udini...hawa dini yao pesa

Watch "President Jammeh's Interview With New African Magazine" on YouTube -

https://youtu.be/BFqbitS9sKU
 
Uislam ni zaidi jina , tyson hana uislam wowote ! Nashangaa sana wanaompigia chapuo..

Unatakuta mtu anajiita muislam alafu anajichora tatoo ?
 
Last edited by a moderator:



Nonda nazungumzia mtu aliye ndani ya uislam alafu anajichora tatoo!....

its ok for a revert that was his past ...! hata Allah SW anasema (25-70) anawasemehe

sipo kuwa atakaye tubu, na akaamini, na akatenda vitendo vyema. Basi hao Mwenyezi Mungu atayabadilisha maovu yao yawe mema. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu

tena dada zetu tanzania ndio wamefanya fashion kabisa ! Parmanent tatoo ni haram kwa muislam yeyoyete yule ....

tukirudi kwa tyson anakitabu chake kinaitwa "
The Undisputed Truth." kuna quote inasema ...

Mike Tyson converted to Islam in prison after being convicted of rape in 1992. But with Tyson, piety and sin are always entwined. As he was becoming a Muslim and reading the Koran, he was also having illicit sex with a woman who was his prison drug counselor; "so much sex that I was too tired to even go to the gym," he says in his new memoir..........



Anyways people change my be he has changed now...
 
Last edited by a moderator:
Nawashangaa mnapo jibishana na kupigana vijembe kwny dini za watu wakt si utamadumi wenu..

Hizi dini mbili znachimbuko na historia tofauti, wengi hajui ijikuta kazaliwa ktk familia ynye din moja wapo na kuendelea nayo bila kujua historia yake.

Waisrael wanaamin dini yao ni yakwao peke yao ndo maana haisambaa kama dini nyingine,
Hizi dini ni tamaduni na ukoloni wa kifikra, mfano matumizi ya majina, mavazi, lugha...

Navyoamini m8mi Mungu ameweka uhuru kw binadamu mwenyewe kuchagua pema ua pabaya, na kwa lazima!!

Ukristu haulazishi watu kufata mafundisho yake wala kumuhukumu mtu anayehama dini, uislam kuna adhabu zipo kwa mtu anayehama dini either mwanamke au mwanaume.

Ikiwa dini zote mbili zinaamini uwepo wa Mungu mmoja, sisi waafrika ndo tumekua tunabishana sana juu ya dini hz toke nje,
Tubadrke waafrika
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom