Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Roho ya husda tu hivyo niambie Frank Ribery kasilimu lini?Hawa jamaa mwisho wa carriers zao wanabadili dini bado sielewi nini siri. Huwa hawabadili wakiwa bado hot cakes.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Roho ya husda tu hivyo niambie Frank Ribery kasilimu lini?Hawa jamaa mwisho wa carriers zao wanabadili dini bado sielewi nini siri. Huwa hawabadili wakiwa bado hot cakes.
Uislam ni zaidi jina , tyson hana uislam wowote ! Nashangaa sana wanaompigia chapuo..
Unatakuta mtu anajiita muislam alafu anajichora tatoo ?
sipo kuwa atakaye tubu, na akaamini, na akatenda vitendo vyema. Basi hao Mwenyezi Mungu atayabadilisha maovu yao yawe mema. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu
Mike Tyson converted to Islam in prison after being convicted of rape in 1992. But with Tyson, piety and sin are always entwined. As he was becoming a Muslim and reading the Koran, he was also having illicit sex with a woman who was his prison drug counselor; "so much sex that I was too tired to even go to the gym," he says in his new memoir..........