Nawashangaa mnapo jibishana na kupigana vijembe kwny dini za watu wakt si utamadumi wenu..
Hizi dini mbili znachimbuko na historia tofauti, wengi hajui ijikuta kazaliwa ktk familia ynye din moja wapo na kuendelea nayo bila kujua historia yake.
Waisrael wanaamin dini yao ni yakwao peke yao ndo maana haisambaa kama dini nyingine,
Hizi dini ni tamaduni na ukoloni wa kifikra, mfano matumizi ya majina, mavazi, lugha...
Navyoamini m8mi Mungu ameweka uhuru kw binadamu mwenyewe kuchagua pema ua pabaya, na kwa lazima!!
Ukristu haulazishi watu kufata mafundisho yake wala kumuhukumu mtu anayehama dini, uislam kuna adhabu zipo kwa mtu anayehama dini either mwanamke au mwanaume.
Ikiwa dini zote mbili zinaamini uwepo wa Mungu mmoja, sisi waafrika ndo tumekua tunabishana sana juu ya dini hz toke nje,
Tubadrke waafrika