Hatimaye Emmanuel Adebayor asilimu

Hatimaye Emmanuel Adebayor asilimu

Status
Not open for further replies.

Yusomwasha

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2014
Posts
2,092
Reaction score
839
Mchezaji maarufu Emmanuel Adebayo amebadili dini kuwa mwislamu.

Chanzo: Clouds Fm

Has Emmanuel Adebayor converted to Islam?

This video certainly seems to suggest so - showing the Tottenham striker taking part in the Shahada ceremony, where 'one declares belief in 'the oneness of Allah and acceptance of Muhammad as his prophet'.

The Togolese forward was thought to have been a practising Christian until recently, uploading images of himself with a priest to Facebook, as well as a caption praising God.

He has also shared pictures of his work with the YMCA in Togo, amid a difficult time personally.

Adebayor has taken to his Facebook account to criticise members of his family for their perceived greed and their tendency to take advantage of his status and wealth for their own benefit.

Manchester-United-v-Tottenham.jpg

Staying put: Adebayor has insisted he is happy at Tottenham
He has been linked with a move away from Tottenham in the transfer window, after seeing his playtime restricted during the second half of last season in particular.

However, he remains with Spurs as things stand. Adebayor is yet to comment on the video.

Source: Mirror UK
 
Last edited by a moderator:
Mbona sio jambo geni?hata van persie alibadil dini na kuwa muislam kwa sababu ya mpenzi wake sio tatizo,kuna waislam wengi wamekuwa wakristo hivyo kwa wakristo kuwa waislam very normal

picha....
 
Hatimaye? Kwani alikuwa akiombwa abadili akawa hataki?
 
Mbona sio jambo geni?hata van persie alibadil dini na kuwa muislam kwa sababu ya mpenzi wake sio tatizo,kuna waislam wengi wamekuwa wakristo hivyo kwa wakristo kuwa waislam very normal

Lakini kwani kuna ubaya huyu mkuu kutujuza kuhusu suala hili! maana kwa michango yawengi ukiwamo inaonekana kama kafanya makosa!watu hutoa taarifa kwa lolote linalojiri kokote na kwa yeyote.
 
Lakini kwani kuna ubaya huyu mkuu kutujuza kuhusu suala hili! maana kwa michango yawengi ukiwamo inaonekana kama kafanya makosa!watu hutoa taarifa kwa lolote linalojiri kokote na kwa yeyote.

Nilikuwa naandaa makala yangu ndefu yenye kichwa cha habar uislam na ukristo unavyopita kipindi kigumu,ugaidi kwa jina la uislam na ushoga kwa jina la wakristo
 
Uislam ni zaidi jina , tyson hana uislam wowote ! Nashangaa sana wanaompigia chapuo..

Unatakuta mtu anajiita muislam alafu anajichora tatoo ?
 
Ni hatuia Nzuri kwa Upande wetu Waislaam wenye Kupenda Amani.

Lakini tufaham kwamba ,Dini yoyote ni Matendo na sio jina,kubadili dini ua kuonekana ni Muislam kwa kujiweka kivuli cha Uislam sio hoja sana.
Uislam ni Amani na Upendo,zaidi kufuata yale yoote Mungu alioamrisha.

Tatizo linakuja kwa hawa wanaobadili dini kwa style hii,wengi wao ni kubadilihsa dini tu ila matendo ni yale yale,so mwisho wa siku hakuna impact yoyote.Inakuwa ni sawa na wale wanaojiita Waislam ila matendo yao ni boya ya Mnyama kuliko wao.

Hatumuombei Mabaya ila tunamuomba Mungu Amuonyeshe njia salama na Abadilike kama muislam wa Kweli.
 
Nilikuwa naandaa makala yangu ndefu yenye kichwa cha habar uislam na ukristo unavyopita kipindi kigumu,ugaidi kwa jina la uislam na ushoga kwa jina la wakristo
Kwa hiyo umeairisha au tuendelee kusubiri.?
 
Mkuu usiishie kwa Tyson tuu endelea na engine mbona wako wengi ..frank ribery,van persie

Wakimbizi wanarudi walikotoka, walitafuta opportunity tu. By the way VanP is still atheist
 
Nilikuwa naandaa makala yangu ndefu yenye kichwa cha habar uislam na ukristo unavyopita kipindi kigumu,ugaidi kwa jina la uislam na ushoga kwa jina la wakristo

Ukiweka hiyo makala mkuu, naomba uni-quote tafadhali.
 
Uislam ni zaidi jina , tyson hana uislam wowote ! Nashangaa sana wanaompigia chapuo..

Unatakuta mtu anajiita muislam alafu anajichora tatoo ?

Wao hawaangalii maisha yake ila raha yao aitwe jina la Kiislamu
 
Hata Loon (aliyekuwa mwanamuziki wa bad boys) na alishiriki kwenye remix ya wimbo wa I need a girl wa Puff daddy alisilimu, anaitwa Amir Junaid Muhadith, ingawa yupo jela kwa kubambikiwa kosa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom