Hatimaye Flora Mbasha ampigia Magoti Mumewe, amuomba amsamehe, ajutia Makosa

Ukisoma utajua tofauti ya mke na mume. Jinsia iliyojeruhi inasema samehe, iliyojeruhiwa inasema usisamehe.
Anaweza samehe safari hii asikosee akamuua hata kwa sumu. Anaweza asisamehe akakutana na mbaya zaidi.
Hapo ndipo nguvu ya maombi na kufunga na sadaka inapofanya kazi kabla ya kuchukua maamuzi. Aisikilize sauti ya Mungu na sio wanadamu.
 




Lakini Baada ya mke wake kufuta kesi mahakamani na kufuta kesi ya kudai talaka, na Kumpigia Magoti Mumewe, Mume amegoma tena, amesema hamuhitaji tena. Kabadilisha maamuzi.
Msikilize mwenyewe hapa


Mkuu sheria inasemaje kama mwanamke kafuta kesi ili warudiane afu msela akagoma, bibie anaweza kufungua kesi tena??
 
Last edited by a moderator:
Hiv hapo anaposema mpaka uchaguzi upite mmemuelewa?... Anahis kwa kuota Pengine Bwanake Gwajima atapewa uwazir mkuu ikitokea miujiza mikubwa ikatokea Mamvi akawa Rais.
 
Flora huna akili kabisa, mwanamke mpumbavu.......huivunja ndoa yake mwenyewe
Mara tu umesahau yote uliyomfanyia mbasha wakati umelewa na penzi la gwajima?
Na unatakiwa ujifunze, ndoa ni ya watu wawili, wewe frola unamsikiliza sana mama yako, utadhani ndio mumeo, angekuwa anakupenda sana kwanini aliruhusu uolewe? Unaniudhi......mfyuuuuuuuuu
 
Too late to Apologize,

alimsumbua Mbasha huyu mwanamke,
wakati anamsingizia kubaka hakujua kama
atahitaji waongeze mapacha...
Ahahahhhh
Lazima kuna mkono flani ulikuwa nyuma ya hii timbwili, sio bure
 
Huyo mtoto mwenye Red kasimama asee
 
Huyu jamaa kama atamrudia huyu mwanamke atakuwa amechukuwa maamuzi magumu sana.
 
DUH! haya mambo ni magumu sana am speechless, maana rapist ni 30 years in prison je hii kesi ilikuwa genuine au ya kutengenezwa?

wacha nipite tu.
 
Too late to Apologize,

alimsumbua Mbasha huyu mwanamke,
wakati anamsingizia kubaka hakujua kama
atahitaji waongeze mapacha...

There is nothing like too late. Mbasha kama ni Mkristo kweli amsamehe tu kama anataka mwisho wa safari yake aingie mbinguni.
 
Kila la heri wenye maamuzi ni wao wenyewe
 
Angalizo kukushitaki kubaka ni sawa na kukumaliza maisha yako ndani ya jera ili yeye na gwajima wabakie wakitafunana kwa raha zao.angalizo kaa makini na huo msamaha!!!!
 
There is nothing like too late. Mbasha kama ni Mkristo kweli amsamehe tu kama anataka mwisho wa safari yake aingie mbinguni.

Mbingu ipi? Na kama angefungwa hiyo miaka 30 angemfuata jela wakarudiane huko. Na wakirudiane Mbasha akadhurika kosa la nani. Ushauri wangu kw Mbasha ebu jisikie kama bado uko rumande kisha uamue.
 
...Mbasha keshamwambia asisikilize maneno ya watu,hop nae hatasikiliza maneno ya watu km ww na ameshamwambia arudi walee watoto wao wawili;siku zote wakigombana,chukua jembe ukalime,wakipatana................!
Nadhani Hujamuekewa Mtangazaji,Kile Alichokisema Mbasha Ilikuwa ni Januari Lakini Juzi Baada Ya Flora Kuifuta Kesi Ya Kudai Talaka Mbasha nae Amegoma na Amesema hawezi kamwe kurudiana na Flora. Mnaposoma au Kuangalia Video Msikilize kwa umakini Acheni kukurupuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…