Hatimaye Flora Mbasha ampigia Magoti Mumewe, amuomba amsamehe, ajutia Makosa

Hatimaye Flora Mbasha ampigia Magoti Mumewe, amuomba amsamehe, ajutia Makosa

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
Emmanuel-Mbasha.jpg

Ule usemi wa Mwanaume ni Mwanaume tu, Umetimia leo baada ya Makeke yote na Mbwembwe zote za Flora Mbasha Kumuishia na Kujikuta amekua mdogo kama piriton mbele ya Mumewe.

Nikakumbuka ule usemi wa Baba na Mama wakigombana Nyumbani, Waache wenyewe Mwisho wataelewana.

Wakati alipokua anahojiwa na Millad Ayo, Flora Mbasha kasema; "Yule ni mume wangu na bado nampenda na ntaendelea kumpenda. Tuna watoto wawili na ningependa tuongeze watoto mapacha lakini tusubili uchaguzi Uishe. Nlikua nampenda mume wangu sana ndo maana pete naivaa shingoni hii ndoa yangu na Mume wangu naipenda sana. Naomba anisamehe kwani nmeshamsamehe pia

Nipo na amani tele na namshukuru Mungu.

Namuahidi ntaendelea kumpenda siku zote. Ninachomuomba naye anisamehe" amesema Flora.

Mbasha mwenyewe kasema Kibiblia hakuna kuachana. Alikua natuma watu wamuombee Msamaha ili Flora arudi nyumbani walee watoto.

"Asisikilize watu na watu wanaompamba, Naomba arudi nyumbani" alinukuliwa Mbasha.


Lakini Baada ya mke wake kufuta kesi mahakamani na kufuta kesi ya kudai talaka, na Kumpigia Magoti Mumewe, Mume amegoma tena, amesema hamuhitaji tena. Kabadilisha maamuzi.
Msikilize mwenyewe hapa


 
Last edited by a moderator:
Too late to Apologize,

alimsumbua Mbasha huyu mwanamke,
wakati anamsingizia kubaka hakujua kama
atahitaji waongeze mapacha...

Halafu katoa sharti mpaka uchaguzi uishe ndio atatoa puchi ili kusaka mapacha kwa mbasha. Yaani kuanzia october 26 ndio mbasha atavuliwa cchupi??..ha haa halafu yuko confortable kbs huyo mwanamke!!
 
Halafu katoa sharti mpaka uchaguzi uishe ndio atatoa puchi ili kusaka mapacha kwa mbasha. Yaani kuanzia october 26 ndio mbasha atavuliwa cchupi??..ha haa halafu yuko confortable kbs huyo mwanamke!!

haaaaaaaa ka set na dates kabisa za kupatikana mapacha........
What goes around come back around nimependa maamuzi ya Mbasha
 
Angefungwa miaka 30 jela angeenda kumuomba msamaha hukohuko gerezani au vp?
 
Ndoa ni tamuu sana ila inapotokea usaliti ndani ya ndoa kunaingia DOA nafsin mwa MTU. Mwanamke mpumbavu huvunja ndoa kwa mikono yake mwenyewe! Wao ni watumishi wa Mungu waombe amani ya bwana iamue mioyoni mwao. Kusamehe kupo!! Narudia tenaa Mwanamke mpumbavu.....!!!
 
Muimbaji flora mbasha leo amefuta kesi ya kudai talaka na kusema anampenda mumewe na tayari wamerejea katika maisha ya ndoa
 
Mtoto amepelekwa kwa babake Gwajima?,au mumewe amekubali kulea?..
 
Back
Top Bottom