Hatimaye Flora Mbasha ampigia Magoti Mumewe, amuomba amsamehe, ajutia Makosa

Hatimaye Flora Mbasha ampigia Magoti Mumewe, amuomba amsamehe, ajutia Makosa

Braza Mbasha acha upoyoyo,, urudiane na huyu nyoka kwa sababu zipi ?
utafaidi nn sasa kama mbunye imetumika zaidi ya miaka miwili
mwachie mzee Gwajooomu aendeleze kupiga hiyo bwelele
 
Binadamu bhana! Kwa hiyo mnafurahi wanapogombana? Bora mkae kimya, wakirudiana mtapata aibu. Mambo ya mapenzi ni mazito ... Nimeona kuna couples wanaachana hii mara ya kumi lkn baadae wanarudiana. Waachie wao ... Na nyie acheni vidomo domo utafikiri mna mahusiano yenye nguvu kuliko wenzenu. Mimi nawaombea heri kama ilivyo kawaida yetu Wakristo.
 
Kwa kweli mbasha toa msamaa ili muishi kama binadamu lakini si ndoa usifanye kosa kurudi, msamehe kwa alicho kufanya na abaki na maisha yake plz take care
 
Kwa yaliyojiri kesi ya ubakaji kwa Emmanuel mbasha, halafu Flora alisema kipindi kile mbasha alitaka kumuua na baada ya hapo alijua atanyea debe miaka 30, lakini mbasha alisema Mungu atanitetea na ukweli amemtetea.

Cha ajabu Flora anaondoa madai ya talaka aliyoitaka alipokua na uhakika mbasha atafungwa na kusema anampenda kwa magoti. Yaani mbasha atamwamini vipi tena? Bora angeomba talaka wakati ashafungwa lakini unachukua urithi kabla mwenyewe hajafa!

Biblia inasema katika mithali ya mwisho kabisa, "mke mwema, hufanya moyo wa mume kumwamini... Lakini hii! Kama ingekuwa ni mimi namsamehe mbele za Mungu lakini harudi, maana talaka ukishaomba ni kama Sala kwa Mungu aombaye hupokea.

Ndoa ndoano
 
...... ......
 

Attachments

  • 1444466528352.jpg
    1444466528352.jpg
    26.9 KB · Views: 492
Mkuu siku zote mwanamke ni kiumbe hatar sana. Wametuzaa ndio lakn hawa watu usije ukawaain isipokuwa mama yako tu
 
Dah huyo mbasha akikubali kumrudia atakuwa mpumbavu na lofa kama UKAWA
 
inasikitisha sana pale unapoona ndoa za watu wanaomjua Mungu na kutumika madhabahuni inakosa adabu na hekima,.Aibu sana,haya mambo wangeweka tu chinichini na sio kuyaleta hadharani maana wamejidhalilisha tu.Mwanamke anapokosa busara na kuwa na kiburi ni mbaya sana tena sana.
 
Back
Top Bottom