makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Sio mwa fisiem vs sisi manyumbu.. Unadhani bongo nyoso kiongozi akae ufichoni atoe maelekezo kuna mtu ataingia road, sisi ni maiti zinazotembea, labda vizazi vijavyo, wakikuta population tushagota kwenye milioni 100 huko, badari ishauzwa kwa mwarabu, gesi ya mchina.. Miradi yote imebinafsishwa, mfagizi wa ofisi ni muhindi, mbuga zote za wanyama zimepigwa bei, madini wameachiwa wachache, asilimia 10 tu ndio wanafaidika the rest kula ugali maharage ni anasa huenda hawa wakawa wamefufuliwa na ujio wa nabii issa.