we mjamaa hupendi ndoa kabisaZamani mtu ukivuta jiko au kuoa.....unaheshimika sana mbele ya jamiii.......na kuwa mfano wa kuigwa kwa vijana wenzako......
Kutokana na ndoa kugeuka kuwa magereza ya mateso.....na vifungo vya dhiki.....kijana kuoa imekuwa habari ya kushangaza sana na pengine kukuonea huruma.....
Wakati wao wanakushangaa.....na wewe unawashangaaa.....
Hivi we binti umeolewa?haa aa yule Esta full kumrushaga G instagram Kumbe jamaa kaopoa kitu kikali halafu mdogo mdogo huyu.. jana atakua alikua na maumivu hatari
Makofi kwa models tafadhali [emoji122][emoji122][emoji122]Wanawake wanene hawaolewi huko Dar?
Njooni kwangu nyie vibonge,msitishwe na Nifah,sipendi vimbaumbauMakofi kwa models tafadhali [emoji122][emoji122][emoji122]
Tunazidi kukimbiza.
alikuwa mchepuko wake? hahahami nilifikiri amemuoa esta dalali yule dada anayeuza kuku toka singida, au ndio yalikuwa mambo ya kuosha rungu tu!!
hahahahah hata pj ni gambezMke awe mvumilivu tu maana jamaa cha pombe balaa
Chapombe mwenzangu kavuta jiko[emoji1] [emoji1] [emoji1]Mke awe mvumilivu tu maana jamaa cha pombe balaa
huyo mkewe ni muarabu au mkomoro,maana mmmmh wana JF mi napita nilikuwa nauliza tu japo hayanihusu,uzuri wa mke ni tabia,umbile na sura,hongera G.handoView attachment 384993
Hatimaye Mtangazaji wa Kituo cha Radio cha E-Fm(Wazee wa Huu mchezo hautaji hasira) ameachana rasmi na kambi ya ukapela na kuvuta jiko.
More pics to come
Naomba acc ya IG ya huyu esterhaa aa yule Esta full kumrushaga G instagram Kumbe jamaa kaopoa kitu kikali halafu mdogo mdogo huyu.. jana atakua alikua na maumivu hatari
Tetesi ni dada yke na maulid kitengehuyo mkewe ni muarabu au mkomoro,maana mmmmh wana JF mi napita nilikuwa nauliza tu japo hayanihusu,uzuri wa mke ni tabia,umbile na sura,hongera G.hando
@estadalali nikiweka picha inagomaNaomba acc ya IG ya huyu ester
Mzee wa bado nipo nipo kakimbia, huyu nae kakimbia...Safi sana. Chama letu linazidi kupigwa na dhoruba!!
Wanaolewa wembamba,miezi sita tu ndoani anakuwa kibonge.Wanawake wanene hawaolewi huko Dar?
Ukiingia hapa JamiiForums unaweza ukahisi hakuna mahusiano mazuri ya kimapenzi. Wachache waliopatwa na majanga kwenye mahusiano wanataka kutuaminisha wote kuwa mahusiano ni kitu kibaya.
Wanaofurahia mahusiano yao wangesema waje huku kusifia pasingetosha humu ni vile wapo busy ku-Socialize na wapenzi wao.
Don't get twisted, love is a beautiful thing.
omba yasikukute mambo haya, halafu mapenzi yao yalikuwa open tu masikini...ila bibi harusi naye katia fora si kwa gauni hilo naona lulu alikuwa kama ndio bibi harusi ukumbinihaa aa yule Esta full kumrushaga G instagram Kumbe jamaa kaopoa kitu kikali halafu mdogo mdogo huyu.. jana atakua alikua na maumivu hatari
nioshe moja tu inahusu!!!Ahahahahahaa we unaendelea kuyaosha au ushamaliza unaosha moja tu..???
yeye sio kimbambau kama huyo, kwa mtazamo wangu ni mrembo zaidi ya huyu...tuma picha ake huyo dada tumfananishe na bi harusi isije kuwa ndo kaolewa