Hatimaye Gerald Hando aaga rasmi kambi ya Ukapela

Hatimaye Gerald Hando aaga rasmi kambi ya Ukapela

Zamani mtu ukivuta jiko au kuoa.....unaheshimika sana mbele ya jamiii.......na kuwa mfano wa kuigwa kwa vijana wenzako......

Kutokana na ndoa kugeuka kuwa magereza ya mateso.....na vifungo vya dhiki.....kijana kuoa imekuwa habari ya kushangaza sana na pengine kukuonea huruma.....

Wakati wao wanakushangaa.....na wewe unawashangaaa.....
we mjamaa hupendi ndoa kabisa
alokutenda alaaniwe...ila pia hongera maana una maamuzi kuntu
simamia msimamo wako as life is all about happines.......
 
View attachment 384993
Hatimaye Mtangazaji wa Kituo cha Radio cha E-Fm(Wazee wa Huu mchezo hautaji hasira) ameachana rasmi na kambi ya ukapela na kuvuta jiko.

More pics to come
huyo mkewe ni muarabu au mkomoro,maana mmmmh wana JF mi napita nilikuwa nauliza tu japo hayanihusu,uzuri wa mke ni tabia,umbile na sura,hongera G.hando
 
Ukiingia hapa JamiiForums unaweza ukahisi hakuna mahusiano mazuri ya kimapenzi. Wachache waliopatwa na majanga kwenye mahusiano wanataka kutuaminisha wote kuwa mahusiano ni kitu kibaya.

Wanaofurahia mahusiano yao wangesema waje huku kusifia pasingetosha humu ni vile wapo busy ku-Socialize na wapenzi wao.

Don't get twisted, love is a beautiful thing.

ni kweli maneno yako kuntu....
 
haa aa yule Esta full kumrushaga G instagram Kumbe jamaa kaopoa kitu kikali halafu mdogo mdogo huyu.. jana atakua alikua na maumivu hatari
omba yasikukute mambo haya, halafu mapenzi yao yalikuwa open tu masikini...ila bibi harusi naye katia fora si kwa gauni hilo naona lulu alikuwa kama ndio bibi harusi ukumbini
 
Back
Top Bottom