Uchaguzi 2020 Hatimaye Gwajima, Pengo na Makonda Wamekutana Pamoja kwa furaha kubwa

Uchaguzi 2020 Hatimaye Gwajima, Pengo na Makonda Wamekutana Pamoja kwa furaha kubwa

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
MAKONDA, GWAJIMA USO KWA USO KWA KARDINALI PENGO

Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Paul Makonda pamoja na Mgombea wa Ubunge Jimbo la Kawe Askofu Gwajima kwa pamoja wamemtembelea Kadrinali Pengo mapema leo.



1600774357938.png

1600774405200.png
 
Hii michezo Gwajima anayoicheza haitamsaidia kupata kitu jimboni Kawe, huku ni mjini, hii michezo akajaribu majimbo ya vijijini huko.

Tabia ya Gwajima imenifanya nimfahamu vizuri, kumbe kuna wakati anaweza kuliweka neno la Mungu pembeni kwa ajili ya manufaa yake binafsi, na zaidi, yupo tayari kuongea uongo wowote akiwa kwenye madhabahu yake kwa ajili ya manufaa yake binafsi.

Sasa dhamira inamshtaki anaishi kwa tabu mpaka mwili wake umepungua.
 
Back
Top Bottom