The Technologist
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 1,242
- 2,544
Hivi unaamini kabisa Gwajima anamaanisha kuomba msamaha?hata ingechukuwa miaka mingapi hyna shida kwani msamaha hauna mda wa kikomo hata miaka mia madam mko hai nyote wawili mlokoseana.
Ninachosema hapa ni kwamba lengo lake ni kuwalainsha wale waliochukizwa na matusi yake kwa Askofu.
Haingii akilini tena kiongozi wa kiroho kumtukana Kiongozi mwenzake Kisha kukaa kimya muda wote huo alaf leo kisa uchaguzi akaombe msamaha.
Huenda KURA ni mungu wa Gwajima kwa maana zimemtiisha kuomba msamaha kuliko kutiishwa na MUNGU anayemuhubiri Kila siku...