Uchaguzi 2020 Hatimaye Gwajima, Pengo na Makonda Wamekutana Pamoja kwa furaha kubwa

Uchaguzi 2020 Hatimaye Gwajima, Pengo na Makonda Wamekutana Pamoja kwa furaha kubwa

Siasa zimekuwa juu ya dini sasa!

Nasubiri picha ya askofu Gwajima na sheikh Ponda ya kutakiana amani!
Ponda hana njaa na wala sio msaliti hata siku moja, angetaka msamaha wa kweli angeomba kipindi kile kile kabla ya kueka nia, kwa sasa ni unafiki tu na kiislam mnafiki anafungwa jiwe kubwa na kutumbukizwa bahari ya Sham kabla hata jua halijakuchwa.
 
Kura za wakatoliki zinatafutwa Kwa kila style Ila Safar hii watakunyoosha Tu Kwenye sanduku la kura
 
... sasa nimethibitisha pasi na shaka Kardinali Pengo alikuwa na kadi since then! He wasn't neutral as he was supposed to be but, rather, was not only politically affiliated but also morally and materially supported the party. He is, as he was, actively supporting the party.
 
Mwenye macho haambiwi sikia na mwenye masikio aambiwi tazama [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Ponda hana njaa na wala sio msaliti hata siku moja, angetaka msamaha wa kweli angeomba kipindi kile kile kabla ya kueka nia, kwa sasa ni unafiki tu na kiislam mnafiki anafungwa jiwe kubwa na kutumbukizwa bahari ya Sham kabla hata jua halijakuchwa.
Kwani Gwajima ana njaa?

Anamiliki ndege na Huduma ya Neno!
 
Back
Top Bottom