Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Amekuwa mdogo kama piriton.Yeye na makonda washauri wao sijui kina Nani Mnyeti kagombea kwao na atashinda, hafu gwajima kumbe ni mweupe hivi siasa imezalilisha utu wake Sana, na kawe hashindi labda atangazwe kinguvu