Anapambana na albadili zakeMakonda amekuwa raia wa kawaida.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anapambana na albadili zakeMakonda amekuwa raia wa kawaida.
... sasa nimethibitisha pasi na shaka Kardinali Pengo alikuwa na kadi since then! He wasn't neutral as he was supposed to be but, rather, was not only politically affiliated but also morally and materially supported the party. He is, as he was, actively supporting the party.
Kwani Pengo ni nani kwa sasa?
Huyo hana impact yoyote tena Jimbo kuu la Dar. Ni muumini wa kawaida tuu..
Hakika. Sasa sijajua hapo nani kaenda kumsamehe mwingine. Ni Makonda anamsamehe Gwajima ama Gwajima anamsamehe Makonda? Nauliza kwa sababu Kardinali Pengo alishamsaheme kitambo sana Gwajima alipomtusiKanisa Moja Takatifu Katoliki La Mitume la Kimisionari linaupa kipaumbele Msamaha. Msamaha hujenga Upendo.
Anamsumbua bure tu Kardinal Pengo. Kama anafikiri kwenda kumuona ndo atapata jimbo asahau. Atuombe msamaha hadharani wakatoliki tuliochukizwa na kitendo cha kumdhalilisha kiongozi wetu wa hadhi ya juu namna hiyo na tutakacho msaidia ni msamaha tu lakini sio Ubunge.Waswahili tuna msemo usemao kuwa hakuna mwanadamu anaye ijua kesho yake.
Yale maneno ya kejeli yaliyosemwa na GWAJIMA dhidi ya Kardinari Pengo leo hii yamemtesa hadi kufikia hatua ya kwenda kumpigia magoti.
Hakika Gwajima atajuta sana kujiingiza kwenye mambo ya siasa. View attachment 1577091
Sent using Jamii Forums mobile app
Amina kiongoziAnamsumbua bure tu Kardinal Pengo. Kama anafikiri kwenda kumuona ndo atapata jimbo asahau. Atuombe msamaha hadharani wakatoliki tuliochukizwa na kitendo cha kumdhalilisha kiongozi wetu wa hadhi ya juu namna hiyo na tutakacho msaidia ni msamaha tu lakini sio Ubunge.
Hana Cha kupoteza Tena huyo mzee... sasa nimethibitisha pasi na shaka Kardinali Pengo alikuwa na kadi since then! He wasn't neutral as he was supposed to be but, rather, was not only politically affiliated but also morally and materially supported the party. He is, as he was, actively supporting the party.
Kama wale wengine walivyokula matapishi yao kwa Lowassa 2015.Duh mtu anakula matapishi yake shame
Sasa bila unafki mambo hayawezi kwenda,unafikiri chadema wangeweza vp kumnadi Lowassa ile 2015 bila unafki?
Ahahahaaaaa "nasema mpuuzi yule,kichaa yule,mjinga yuleee" kajamaa kana mdomo mchafu kama shimo la chooHapa Bashite, pale Gwajima....balaa tupu.
Huyu askofu ndiye yule aliyeulizwa amekula maharagwe ya wapi au?
Movie kali sana.
Wanawakilisha vyema tabia za wana ccmGwajima na Makonda wanafanana sana kwenye ukosefu wa aibu