Uchaguzi 2020 Hatimaye Gwajima, Pengo na Makonda Wamekutana Pamoja kwa furaha kubwa

Uchaguzi 2020 Hatimaye Gwajima, Pengo na Makonda Wamekutana Pamoja kwa furaha kubwa

MAKONDA, GWAJIMA USO KWA USO KWA KARDINALI PENGO

Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Paul Makonda pamoja na Mgombea wa Ubunge Jimbo la Kawe Askofu Gwajima kwa pamoja wamemtembelea Kadrinali Pengo mapema leo...
Kila jambo na wakati wake. Kuna wakati wa kutupa mawe, na wakati wa kukusanya mawe.
 
mara tu unapogundua kuwa umekosea, na sio kufanya ili upate kura za wakatoliki.
Mara zote mtu uomba msamaha pale anapohisi kakosea. Halafu, sisi Wakatoliki tunampenda sana aliyetukosea ili aweze kujutia kosa lake. Kwahiyo, usije kushangaa akapata kura nyingi za Wakatoliki kuliko hata wafuasi wake.
 
Nimpongeze Askofu Gwajima kwa hili alilolionesha leo...kwani baada ya miaka kadhaa ya kumkwaza Kadinali Pengo na waumini wa Kanisa Katoliki hatimaye amerudi kwa maridhiano ...maridhiano haya yanatoa fursa ya upendo kwenye jamii.

Niseme hata mimi alinikwaza kwa yale alitotamka na kuyafanya miaka mitano iliyopita lakini baada ya tukio la leo...roho yangu imekuwa nyeupe sana kwake.

VIVA TANZANIA !!
 
IMG-20200922-WA0041.jpg

View attachment 1577563
 
Hivi asingekuwa mgombea asingetafuta mapatano? Watu wanatafuta mapatano ili waende Peponi na sio Bungeni.

Atoke basi akamsafishe Makonda in the public kuwa ana Cheti cha halali na kwamba alimchafua kwa makusudi
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Umekulaa maharage ya wapi weweee...mjinga weweee.. Huna akilii weweeee....
Serio anaiabisha jamiiforums wiii weeei weeei wiiiuuu wiiiiu naliamusha dude 😂🤣😃😀😁😂🤣
 
Nimpongeze Askofu Gwajima kwa hili alilolionesha leo...kwani baada ya miaka kadhaa ya kumkwaza Kadinali Pengo na waumini wa Kanisa Katoliki hatimaye amerudi kwa maridhiano ...maridhiano haya yanatoa fursa ya upendo kwenye jamii.
Niseme hata mimi alinikwaza kwa yale alitotamka na kuyafanya miaka mitano iliyopita lakini baada ya tukio la leo...roho yangu imekuwa nyeupe sana kwake.

VIVA TANZANIA !!
Ninaamini ameenda kumuona askofu kwa kusukumwa na sababu za kisiasa kuomba msamaha kwa kauli zake dhidi ya Askofu mstaafu Pengo akilenga wapiga kura wakatoliki. Naona huyu mgombea atahangaishwa sana na kauli zake alizokwisha zitoa.
 
Back
Top Bottom