Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Unachagua wakati wa watu kutambua na kujutia makosa yao? Acha tabia za kishetani "wakati ulikubaliwa ndio sasa"Kwanini wakutane wakati huu na sio wakati ule alipomtukana?
Umepita muda gani kwani?
Siasa zimekuwa juu ya dini sasa!
Nasubiri picha ya askofu Gwajima na sheikh Ponda ya kutakiana amani!