Uchaguzi 2020 Hatimaye Gwajima, Pengo na Makonda Wamekutana Pamoja kwa furaha kubwa

Wana mtia Mzee Pengo kihoro na hamu kwa kuja na wake zao.
Anatamani hata asingelikuwa Askofu angelikuwa na mama nyumbani wa kumsaidia angalau kufagia nyumba na kumtandikia kitanda.
Sasa maisha ya uzee bila ya Mke wala watoto ni Hatari tupu. na ukiwa
Sio kweli,kwani hao ni wageni wa kwanza kumtembelea wakiwa na wake zao tangu aingie kwenye ukasisi??
 
Sasa mkuu,si unajua tarehe 28 kuna nini?!!!.Hizo ni mbinu za kivita.
 
Kamsindikiza,lakini wananchi tunaona....ni bad for optics!

Gwajima kama kachanginyikiwa hivi aiseee

All he has said and done are coming to fvck him so bad....

Mpaka October 28,huyu mzee lazima aende Mirembe!
Unajua ndugu yangu siku zote mpira ingie mwenyewe uwanjani uucheze kwa hiyo Gwajiboy alidhani Siasa ni kitu chepesi,sasa anaonja ugumu wa siasa,nadhani hadi uchaguzi upite atakuwa ameshajifunza mengi.
 
Wewe mtu kuna wakati nakuelewa sana japo wakati mwingine unaniangusha.Uwezo wako wakufikiri ni mkubwa sana hebu toka uko gizani uliko ili huo uwezo ulionao uutumie kusaidia jamii kubwa ya watz walio kwenye lindi kubwa la ujinga, maradhi na umaskini.
Umeona enh??!.
 
Mkuu hili ni fumbo,kulifumbua hadi tuwasake watu walio karibu na hao wahusika watupe abc
 
Kiufupi tu jamaa amejipanga, anawabana wapinzani pande zote
 

Attachments

  • FB_IMG_16009050268336456.jpg
    34.8 KB · Views: 1
  • tmp-cam--609268731.jpg
    14.6 KB · Views: 1
  • FB_IMG_16009050268336456.jpg
    34.8 KB · Views: 1
Formally stated, Newton's third law is: For every action, there is an equal and opposite reaction. The statement means that in every interaction, there is a pair of forces acting on the two interacting objects. The size of the forces on the first object equals the size of the force on the second object.
 
Kwamba baba mchungaji ni "mpumbavu" na "failure" au???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…