Uchaguzi 2020 Hatimaye Gwajima, Pengo na Makonda Wamekutana Pamoja kwa furaha kubwa

Ukiona mgombea anarudi mpaka kula matapishi yake yaliyooza basi ujue hali yake ni mbaya sana.

Gwajima anajua wazi haungwi mkono na makundi yote makubwa ya wakazi wa Kawe, sasa inasemekana Meko kamwambia embu tafuta kick kwa kutumia picha za mahasimu wake. It is too late to catch train on SGR.
 
Kwa hiyo amemrudisha Makonda kwenye ulimwengu wa siasa, lol
 
Pengo angemjibu Gwagima alipotukanwa sijui ingekuwaje! Alitumia busara kukaa kimya. Namshauri Gwajima akasome falsafa ili ajue amna ya kupangilia maneno yake
 
Wataenda mpaka kwa shetani
Mjifunzege kusamehe siyo myashikirie weee! moyoni!!!! Hongereni sana waungwana wa Kolomije team, kwa kuyasahau yalopita sasa myajenge yajayo! mko safi, hata wachamba wima wawaseme vipi! yaani nimeipenda kwa kweli hii movie!

Na wewe Pengo ulifanya la maana sana kupiga kimya! hapo mwenye roho kwatu ni wewe Pengo! wajinga wote jifunzeni kwake, mtu akikusimanga piga kimya! tengeneza maisha, dhambi hiyo itamsumbua sana.

Wenye wivu na Makonda!! na wale mahasimu wa Gwajima wachonga deal ya picha, Wasabato kindakindaki msompenda Pengo wa RC sasa mnatamani mpasuke wenzenu haooooo!!!! na bado! ningejua aliyeunganisha hawa watu ningempa mbwa bure!
 
Halafu km wewe mpo wengi sana humu!! angalia waliokupa like!!! duu!! yaani unachukia hatua walofikia? ndiyo wakuacha hivo! endelea kufa polepole!!!!
 
Wapenda vurugu akina ni yeye &co, hawatapenda hii kitu.
 
Halafu km wewe mpo wengi sana humu!! angalia waliokupa like!!! duu!! yaani unachukia hatua walofikia? ndiyo wakuacha hivo! endelea kufa polepole!!!!
Wanapenda vurugu hao , alafu utasikia nchi haina nini haina nini, lo! Wameumbuka sasa!
 
Umeona eenhh??!!!!.Wajanja tushamjua.
 
Funzo kwa vijana wa mitandaoni ambao huwa wanajiingiza kwenye ugomvi binafsi wa watu.
Sura zitawekwa wapi sasa?

CHADEMA pia mjifunze sio kila ugomvi ni wa kuutumia kisiasa maana mlikuwa mnamsifu sana Gwajima na mkamuona kuwa ni mwenzenu.
Kosa lile lile mlifanya kwa Mangi Kimambi
 
Miaka yooooooote ameishi na hajapungukiwa kitu. Kilichowaunganisha ni maslahi ya kisiasa acha ubwege wewe. Pengo ni CCM kindakindaki na Gwajima pia kwa sasa ni mwana CCM maslahi. CCM imewaunganisha


 
Methali; Ndugu wapiganapo chukua jembe ukalime! wakipatana chukua kapu ukavune, wakitulia wape chakula Wale washibe!!!

Gwajima /Pengo ni ndg kwa bwana wote maaskofu.

Makonda/Gwajima wote kijiji kimoja Kolomije!

Nyie washabiki viherehere vyenu vya chuki dhidi ya Makonda mnaona furaha akichambwa sasa kiko wapi? hamjanywa sumu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…