Hatimaye Halima Mdee na Mzee wa AkiliMali wachukua fomu kugombea uongozi yanga

Mijitu kama mimi ipo nje ya nchi. Je jitu wewe una sababu gani?
Jitu mimi umri hauniruhusu kugombea nafasi tajwa Kikatiba!

Hongera jitu wewe kwa kuishi nje ya nchi.
 
Tarimba anafaa kutuongoza wana Yanga pia Halima Mzee kichwa namkubali kuwa miongoni mwa wajumbe.
 
Hivi ni rahisi kuchanganya siasa na michezo, au inasaidia kukujenga kisiasa na kukufanya high profile kama walivyofanya Dewji, Manji?
 
Bakora zinatembea sasa hivi huko jangwani. Vurugu kwa kwenda mbele wengine wanataka uchaguzi wengine wanapinga.
Vyura bakora hazisaidii siku hizi. Mazungumzo pekee ndio yanajenga.
Njaa mbaya wewe wacha tu.
 
Bakora zinatembea sasa hivi huko jangwani. Vurugu kwa kwenda mbele wengine wanataka uchaguzi wengine wanapinga.
Vyura bakora hazisaidii siku hizi. Mazungumzo pekee ndio yanajenga.
Njaa mbaya wewe wacha tu.
Kuna vichwa vingine ni vigumu sana kuelewa bila nyenzo then henzereni acha tu itumike
 
Madega,Tarimba na Akilimali wana jipya lipi tena Yanga,Yanga igeni Simba katika hili. Piga chini wote hasa Madega,amesahau nini.
Tarimba anaweza kuwa na jipya cos alipingwa miaka ya uongozi wake alipotaka Yanga kuwa kampuni, ikaleta mpasuko na Yanga asili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…