Tajiri mpole
JF-Expert Member
- Apr 15, 2018
- 2,890
- 5,632
Daaa pale juu wamtoe Tarimba wamuweke Mbowe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jitu mimi umri hauniruhusu kugombea nafasi tajwa Kikatiba!Mijitu kama mimi ipo nje ya nchi. Je jitu wewe una sababu gani?
Jitu Mkongwe Shikamoo. Unampita umri Akilimali?Jitu mimi umri hauniruhusu kugombea nafasi tajwa Kikatiba!
Hongera jitu wewe kwa kuishi nje ya nchi.
Naunga mkono hoja..Kama hawataki watuachie Yanga yetu[emoji196][emoji196][emoji196]Mwenyekiti wetu ni akilimali full stop
Jitu la nje marahaba!...akilimali ni mdogo wangu wa pili Jitu ila si Patel🤣🤣🤣Jitu Mkongwe Shikamoo. Unampita umri Akilimali?
NakaziaMadega,Tarimba na Akilimali wana jipya lipi tena Yanga,Yanga igeni Simba katika hili. Piga chini wote hasa Madega,amesahau nini.
Hivi ni rahisi kuchanganya siasa na michezo, au inasaidia kukujenga kisiasa na kukufanya high profile kama walivyofanya Dewji, Manji?Waliochukua fomu ya kugombea nafasi mbalimbali ndani ya Klabu kongwe nchini Yanga itakayofanya Uchaguzi wake tarehe 13 January, 2019:-
Nafasi ya Mwenyekiti:-
1. Tarimba Abbas Tarimba.
2. Iman Mhugura Madega.
3. Ibrahim Akilimali.
Makamu Mwenyekiti:-
1. Said Mecky Sadiq.
2. David Mosha.
3. Mbaraka Igangura.
Nafasi nne za wajumbe wa Kamati Tendaji:-
1. Abdallah Binkleb.
2. Hussein Ndama.
3. Shija Richard.
4. Hamad Islam.
5. Paul Malume.
6. Isack Chanji.
7. Aroni Nyanda.
8. Yusuph Mhendeni.
9. Ally Mayai.
10. Mhe. Halima Mdee.View attachment 929706View attachment 929707View attachment 929708
Kuna vichwa vingine ni vigumu sana kuelewa bila nyenzo then henzereni acha tu itumikeBakora zinatembea sasa hivi huko jangwani. Vurugu kwa kwenda mbele wengine wanataka uchaguzi wengine wanapinga.
Vyura bakora hazisaidii siku hizi. Mazungumzo pekee ndio yanajenga.
Njaa mbaya wewe wacha tu.
Wewe binti unapenda sana wanaume toka kaskazini??Hivi huko Kilimanjaro hakuna Timu ya mpira hadi wote wawe Yanga/Simba?
Tarimba anaweza kuwa na jipya cos alipingwa miaka ya uongozi wake alipotaka Yanga kuwa kampuni, ikaleta mpasuko na Yanga asiliMadega,Tarimba na Akilimali wana jipya lipi tena Yanga,Yanga igeni Simba katika hili. Piga chini wote hasa Madega,amesahau nini.
Mtu wa Tarimba anaongeza idadi ili baadaye apewe hela ajitoe.Mzee Akilimali hawezi pigiwa kura hata na mkewe