Hatimaye Halima Mdee na Wenzake wafungua kesi ya Kupinga kuvuliwa uanachama Mahakama Kuu

Mimi sina shida na mahakama kufanya kazi na haki zao kutafuta haki hili halina mjadala, swali langu kwa kawaida kama mtu kafukuzwa kazi akaenda mahakamani akashinda kesi huwa analipwa na mishahara yote toka siku aliyoachishwa kazi sasa kwa hawa 19 najuwa wanendelea kupokea mishahara japo kinyume lakini ndio hali halisi je wakitokea kushindwa kesi kuwa walifukuzwa kihalali na hawakuwa na haki kuwa bungeni je watabidi warudishe kila walichopokea toka siku ile waliyofukuzwa?
 
Hii kesi wataihangaikia hangaikia hadi ifike mwishoni tu wa mwisho wa mwaka 2024 basi wakishindwa watatafuta namna kupitia chama kingine wakishinda hawatarudi kugombea kupitia chama cha Chadema. Mkate wa bwana nitaupigania kwa nguvu zangu zote.
Amini.....
 
Wenye akili TUMESTUKA,

Case hii ya mchongo haiwezi Isha kimahakama itategemea Matokeo ya Maridhiano.

Lisu amesema hata Hawa COVID-19 wakifurushwa Bado hawatapeleka au hawatateua wengine sababu Hawaitambui Serikali iliyoingia Kwa BAO la mkono 2020.

Nguvu yetu yote Kwa sasa tuhamishie kwenye;

Kushinikiza Judge Warioba ateuliwe na AAPISHWE kuwa mkt wa Tume amalizie KAZI aliyoanza.

RASIMU alosimamia Judge Warioba irudi mezani mjadala uanzie hapo.

Hatimaye tupate KATIBA mpya itakayopunguza mamlaka makubwa ya Rais yanayoweza mtoa mtuhumiwa gerezani usiku na Kuapishwa Ubunge wakati Bado document zikisoma ni mfungwa.
 
Tukutane mahakamani wataimba wimbo usio na korasi ntakapo wapa za uso
 
SAFI SANA TUJUE MBIVU NA MBICHI HASA NA YULE ALIYETOLEWA GEREZANI USIKU NA KWENDA KUAPISHWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…