Hatimaye Hamisa Mobetto akubali ile voice note na mganga ni sauti yake

Miaka 43 ni bibi? Wewe una miaka mingapi?
Nna 31 bibie....wala siongezu wala kupunguz!!

Bibienu anadanganya ana 38 kapunguza mi5 nyumaa!!!hahaaa...poleni

Halafu nyie ndo zenuuu
 
Mimi bibi yangu ana miaka 70 saiv hana 43. Umri hausimami na wewe utafika tu hyo 43.
Sitapunguza ili nilwalwe na vitoto kumantain umaarufu kunuka kama boss wenu!!nikifika that age ntadata nabeat mfano nilivyofika 20's nilikua mtu wa club sanaaaaa.....japo at the mid 20's nilikua na mume but yeye ndo alikua ananipeleka niakinjoi Dom pale club Nk ,maisha nk..sasa Niko 30 siendi club nna watoto wawili

Kwa umri huo tayar anakaribiamenopause ukubali ukatae hawezi kushindana na vitoto!!!

Tunapaswa tuishi kulingana na umri wetu!!nkifika 35 hutaniona hapa nabishana bishana tayari mtu mzima Mimi!!

Ila bibi enu kiukweli Ameruka stage..namuombea Mungu aolewwe....maana 6 kids baba tofauti hajawahi hata olewa stress lazimaaa..
 
Ila Zari anapendwa saaaaaaaaana na watanzania acha tumpende sio lile lichawi
 
Hamisa eti 23 mara amezaliwa 1994 so ana 26 wakati 1994 inabidi awe na 24 haaaaa dada najua una hasira na zari pole na ualimu wako wa primary pensheni yako zari ameiunganisha kwenye Rangerover moja daaaa
 
Maisha hayana formula. Wapo hadi wenye miaka 70 wanaenda club sababu kila mtu na style yake ya kuishi hakuna kupangiana. Kupangiana unamlipia wewe kiingilio
 
Hajawahi kuifata kwa mganga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…