Hatimaye Hamisa Mobetto akubali ile voice note na mganga ni sauti yake

Hata bibi kidude alshawahi kuwa na miaka 23, nyie jidanganyeni tu.
 
41783473_251356135439389_4204849056248229070_n.jpg

Jana kuna uzi nliona humu kuhusu kusema zari kakamatwa airport huko London nadhani ulifunguliwa na raynavero....hii habari imeishia wapi jamani?!
41004122_246441532730200_5843307143279201517_n.jpg
 
Dhambi kivipi? Mi sijamlinganisha nimewasaidia nyie shabiki zake mnaomlinganisha, make kumlinganisha zari na hamisa ni sawa na kulinganisha kokoto na mlima, hamisa kazidiwa kuanzia maendeleo hadi kutumia filters ha ha ha
Boss wenu alikamatwa huko kisa kufake umri kawa mdogooo kama panya kwenye maji[emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3]!!!!

Hamu imeuisha kuzaliwa 1975 akasema kazaliwa1980 Mungu anamuona...

Halafu huyo Zari mnafagilia ninyi wabongo tu wenye chuki na hamisaa...na watanzania wenzenu ila hana lolote zilipendwa
Kumlinganisha ni ngumu..

Zari ana uwezo wa kulingana na Hamisa..maana ana uwezo wa kumzaaa huku kasimama

Zari ni Bito Hamisa ni Range Rover weeeeweee...ukubali katae

Rudi nyumbani kumenogaaaa
 
Evelyn umenifanya nicheke kwa sauti kubwa mnoo haswaa hapo " alipoanza ku date akiwa na miaka 13... Raynavero sijui yuko wapi leo
Thread ya Zari kukamatwa wameifuta hawa mods sijui wanalipwa halafu team Zari sijui wanaumwa nnyaa mabingwa wa kuripoti ila nyuzi zifutwee..

Mods uliefuta Uzi huendi mbingunii...[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji19] !!!!
Hamisa ana miaka 24..huo ndo ukweli kazaliwa 1994...!!!

Nilikua na majukumu kakaa...mmerudi hawa team tukinao wana husda sanaaaaa!!(Uzuri mi na Eva tofauti kwa zari na Hamisa tuuu baasi kungine no problems)
Kuna majinga ugomvi huu wanauleta hadi kungine....
 
Thread ya Zari kukamatwa wameifuta hawa mods sijui wanalipwa halafu team Zari sijui wanaumwa nnyaa mabingwa wa kuripoti ila nyuzi zifutwee..

Mods uliefuta Uzi huendi mbingunii...[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji19] !!!!
Hamisa ana miaka 26 ...huo ndo ukweli kazaliwa 1994...!!!

hahaa",eve hanaga nouma", hao wengine wapotezee tu" wasije kukukausha Uzazi"....
 
Wiki kadhaa zimepita hamisa alikua na skendo ya kwenda kwa mganga, habari ikiwa ni kumloga mama dangote ili ampende na pia mzazi mwenzie wa pili diamond platinum ili amuoe na ampe nyumba kwani wamekua katika uhusiano muda mrefu sana yapata miaka kumi, lakini jamaa haoneshi dalili yoyote bali amekua kama menstrual cycle anaenda na kurudi anaenda na kurudi.

Mrembo huyo kwenye miaka 23 kwa sasa, ameonekana kuchoka kuchomeshwa mahindi miaka 10 yote (maana hiyo alikua na diamond akiwa na miaka 13).

Katika interview aliyofanya leo amekiri ile voice note ni yeye kweli ila alikua anaongea na sheikh kwa ajili ya dua (sheikh anaagiza kondoo kwa ajili ya dua koh koh), pamoja na hilo hamisa amefunguka kunusurika kichapo kutoka kwa mama diamond ambapo alifanikiwa kuchoropoka mama akabaki na wigi mkononi.
Numbisa utasaidia kuattach interview
View attachment 873771
Jaman jaman
Hebu tuwe serious kdg
Hamisa ana miaka 23??????
Bx anachika mapema sana
 
Boss wenu alikamatwa huko kisa kufake umri kawa mdogooo kama panya kwenye maji[emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3]!!!!

Hamu imeuisha kuzaliwa 1975 akasema kazaliwa1980 Mungu anamuona...

Halafu huyo Zari mnafagilia ninyi wabongo tu wenye chuki na hamisaa...na watanzania wenzenu ila hana lolote zilipendwa
Kumlinganisha ni ngumu..

Zari ana uwezo wa kulingana na Hamisa..maana ana uwezo wa kumzaaa huku kasimama

Zari ni Bito Hamisa ni Range Rover weeeeweee...ukubali katae

Rudi nyumbani kumenogaaaa
Japokuwa umeandika ila moyoni unajua kuwa Zari ni noma, kimwonekano,pesa,akiri,heshima, huwezi mlinganisha na yule mchawi hamisa me ni mtanzania ila Zari ni nomaaaaaa
 
Thread ya Zari kukamatwa wameifuta hawa mods sijui wanalipwa halafu team Zari sijui wanaumwa nnyaa mabingwa wa kuripoti ila nyuzi zifutwee..

Mods uliefuta Uzi huendi mbingunii...[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji19] !!!!
Hamisa ana miaka 26 ...huo ndo ukweli kazaliwa 1994...!!!

Nilikua na majukumu kakaa...mmerudi hawa team tukinao wana husda sanaaaaa!!(Uzuri mi na Eva tofauti kwa zari na Hamisa tuuu baasi kungine no problems)
Kuna majinga ugomvi huu wanauleta hadi kungine....
Haaaaaaa leo imekuwa 26 na sio 23 yule dada ni mchawi, mwanga, mchafu tena shetani mkubwa ata umsafishe vipi yule dada ashachafuka, jiulze why watz wengi hawampendi......
 
Boss wenu alikamatwa huko kisa kufake umri kawa mdogooo kama panya kwenye maji[emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3]!!!!

Hamu imeuisha kuzaliwa 1975 akasema kazaliwa1980 Mungu anamuona...

Halafu huyo Zari mnafagilia ninyi wabongo tu wenye chuki na hamisaa...na watanzania wenzenu ila hana lolote zilipendwa
Kumlinganisha ni ngumu..

Zari ana uwezo wa kulingana na Hamisa..maana ana uwezo wa kumzaaa huku kasimama

Zari ni Bito Hamisa ni Range Rover weeeeweee...ukubali katae

Rudi nyumbani kumenogaaaa

Hapo kwenye red please madame nakuomba unywe chai sina cha kujibu ila tu naomba unywe chai😀

BTW umeona clip zilizounganishwa Hamisa anaongea kuhusu ndoa
Clip ya 1 "Mimi ni mmoja kati ya watu wasioamini ndoa, ndo maana watoto wangu nimewazaa nje ndoa"

Clip 2 akiongea na le mgangaz "Nataka ndoa nataka nyumba nataka mtoto akubalike"
Ha ha ha chezea sizitaki mbichi hizi ndoa ataishia kuiona kwenye page za instagram
 
Back
Top Bottom