Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,517
- 9,762
Sura yake haiendani na umri anausema nadhani anakaribi 30 sema vipodozi zinambeba lakini naamini ukikutana naye ndo katoka kuamka unaweza ukamkimbiaUsisahau umri huo ana watoto wawili wa baba tofauti, maisha yake complex sana kama nyeti za mwanamke hayaeleweki hata kwa calculator