[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] vipi dear kwani mmesema nna maisha mazuri...punguza hasira bwanaa...vitu vidogo hvii....!!roho mbaya kwa Zari,Hamisa je!??nyie team Vikongwe mna taaabu!+Acha roho mbaya mwanamke. Maisha yako duni pambana na hali yako sio kuhamishia stress kwa wengine.
Maisha ya huyo binti yamejaa uongo tu ndani ya hiyo miaka 10 majizo alikua wapi sijui au majizo alidate nae akiwa na 8yearsSasa kama kale kabint kana miaka 5 inamaana alizaa akiwa 18yrs, na form four kamaliza na miaka mingapi mweh!
Mbona na wewe kikongwe shoga angu. Kwa umri wangu wewe kwangu kikongwe.[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] vipi dear kwani mmesema nna maisha mazuri...punguza hasira bwanaa...vitu vidogo hvii....!!roho mbaya kwa Zari,Hamisa je!??nyie team Vikongwe mna taaabu!+
Ha ha ha madame kuwa specific basi ni 23, 24 au 26 ka vipi chukua mathematical table hapoKweli ndo umri wake mmesahau nashukuru kunirekebisha
Hatujamkuza huo ndo ukweli[emoji3][emoji16][emoji16]passport yake ya kwanza inasema hvyoo kazaliwa 1975...hivi kwa nini watu wanaogopa miaka mingii...mbona fresh tuu!![emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji3]mi mbona najikubali kua nshapita 20's....Umri mange mkubwa kazaliawa kabla ya zari japo mwaka mmoja. Msimkuze dada wa watu hamjamzaa nyie
Wewe wampenda malkia wa porn!!!,acha nimpende mchawi wanguuu!!!mama mtu mzima papa liko kwenye mitandao[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] mpk vitukuu watalionaa maisha yake YoteeeIla Zari anapendwa saaaaaaaaana na watanzania acha tumpende sio lile lichawi
Kama hamisa anavoogopa umri wake. We mwenyewe unaogopa wako 20s ndo nini ha ha hHatujamkuza huo ndo ukweli[emoji3][emoji16][emoji16]passport yake ya kwanza inasema hvyoo kazaliwa 1975...hivi kwa nini watu wanaogopa miaka mingii...mbona fresh tuu!![emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji3]mi mbona najikubali kua nshapita 20's....
Typing error bwanaa Evaaa[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Ha ha ha madame kuwa specific basi ni 23, 24 au 26 ka vipi chukua mathematical table hapo
Hadi kumuitia ma mkwe shilawadu, aaagrrr acha tu maza akatandike kamekosa adabu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yeye anayejielewa mbona anatoa siri za familia ya mzazi mwenzie
[emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3]shoga sikatai miye kikongwe simzidi tukinao lakini...Mbona na wewe kikongwe shoga angu. Kwa umri wangu wewe kwangu kikongwe.
Una roho mbaya sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Au huo umri tuutafutie K.K.S kigawo kikubwa cha shirika😀😀 nachekaaaaaaTyping error bwanaa Evaaa[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Unampenda zari kweli mpaka unaijua passport yake ya kwanza ikoje. Vipi hamisa passport yake ya kwanza imeandikwa kazaliwa mwaka ganiHatujamkuza huo ndo ukweli[emoji3][emoji16][emoji16]passport yake ya kwanza inasema hvyoo kazaliwa 1975...hivi kwa nini watu wanaogopa miaka mingii...mbona fresh tuu!![emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji3]mi mbona najikubali kua nshapita 20's....
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji4] Leo naona umechukia haswaa...watamani untukane au unipige makofiHamisa eti 23 mara amezaliwa 1994 so ana 26 wakati 1994 inabidi awe na 24 haaaaa dada najua una hasira na zari pole na ualimu wako wa primary pensheni yako zari ameiunganisha kwenye Rangerover moja daaaa
Hivi kuna mtu anakupangia kwako kula maharage/nyama au jinsi unavyolea wanao??[emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3]shoga sikatai miye kikongwe simzidi tukinao lakini...
Sikatai miye mkubwa ndo maana silalwi na vitoto
Sikatai miye kizee ndo maana sishwiki makali Mbele ya hadhara....
Mwanamke hulka bibiii!!!
Roho mbaya kusema Zari kizee...!!!
[emoji3][emoji16][emoji23][emoji3][emoji3]kama sio mbongo kinakuuma nini sasa...pyeeeeee!!Hivi kuna mtu anakupangia kwako kula maharage/nyama au jinsi unavyolea wanao??
Vipi maisha ya mwenzio yakusononeshe kiasi hicho[emoji23][emoji23][emoji23]
Zari sio mtanzania mwenzio vp kikuume
Cheka tu uongeze siku za ishi shoga angu tunapoteza siku tu hapaAu huo umri tuutafutie K.K.S kigawo kikubwa cha shirika😀😀 nachekaaaaaa
Umeona eeh!pumzika shoga Angu!!Hizi comments za humu zinaniua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngoja niwe msomaji maana leo ninaemkubali kapumzishwa.