Hatimaye Hamisa Mobetto akubali ile voice note na mganga ni sauti yake

Hatimaye Hamisa Mobetto akubali ile voice note na mganga ni sauti yake

Acha roho mbaya mwanamke. Maisha yako duni pambana na hali yako sio kuhamishia stress kwa wengine.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] vipi dear kwani mmesema nna maisha mazuri...punguza hasira bwanaa...vitu vidogo hvii....!!roho mbaya kwa Zari,Hamisa je!??nyie team Vikongwe mna taaabu!+
 
Mbona na wewe kikongwe shoga angu. Kwa umri wangu wewe kwangu kikongwe.
Una roho mbaya sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umri mange mkubwa kazaliawa kabla ya zari japo mwaka mmoja. Msimkuze dada wa watu hamjamzaa nyie
Hatujamkuza huo ndo ukweli[emoji3][emoji16][emoji16]passport yake ya kwanza inasema hvyoo kazaliwa 1975...hivi kwa nini watu wanaogopa miaka mingii...mbona fresh tuu!![emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji3]mi mbona najikubali kua nshapita 20's....
 
Ila Zari anapendwa saaaaaaaaana na watanzania acha tumpende sio lile lichawi
Wewe wampenda malkia wa porn!!!,acha nimpende mchawi wanguuu!!!mama mtu mzima papa liko kwenye mitandao[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] mpk vitukuu watalionaa maisha yake Yoteee
 
Hatujamkuza huo ndo ukweli[emoji3][emoji16][emoji16]passport yake ya kwanza inasema hvyoo kazaliwa 1975...hivi kwa nini watu wanaogopa miaka mingii...mbona fresh tuu!![emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji3]mi mbona najikubali kua nshapita 20's....
Kama hamisa anavoogopa umri wake. We mwenyewe unaogopa wako 20s ndo nini ha ha h
 
Mbona na wewe kikongwe shoga angu. Kwa umri wangu wewe kwangu kikongwe.
Una roho mbaya sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3]shoga sikatai miye kikongwe simzidi tukinao lakini...

Sikatai miye mkubwa ndo maana silalwi na vitoto

Sikatai miye kizee ndo maana sishwiki makali Mbele ya hadhara....

Mwanamke hulka bibiii!!!

Roho mbaya kusema Zari kizee...!!!
 
Hatujamkuza huo ndo ukweli[emoji3][emoji16][emoji16]passport yake ya kwanza inasema hvyoo kazaliwa 1975...hivi kwa nini watu wanaogopa miaka mingii...mbona fresh tuu!![emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji3]mi mbona najikubali kua nshapita 20's....
Unampenda zari kweli mpaka unaijua passport yake ya kwanza ikoje. Vipi hamisa passport yake ya kwanza imeandikwa kazaliwa mwaka gani
 
Hamisa eti 23 mara amezaliwa 1994 so ana 26 wakati 1994 inabidi awe na 24 haaaaa dada najua una hasira na zari pole na ualimu wako wa primary pensheni yako zari ameiunganisha kwenye Rangerover moja daaaa
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji4] Leo naona umechukia haswaa...watamani untukane au unipige makofi

Aheri miye mwl wa primary kidogo changu!
Siweki papa langu kwenye internet dunia nzima walione

Miye huyuu...silalwi na vitoto ili nipate umaaarufu!!
Watoto sita baba watatu tofauti..

Amiliki mpk Uganda yotee..ila kwa kudanga noooppppp...nasema boss wenu ni changudoa sema change mwenye akili
 
[emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3]shoga sikatai miye kikongwe simzidi tukinao lakini...

Sikatai miye mkubwa ndo maana silalwi na vitoto

Sikatai miye kizee ndo maana sishwiki makali Mbele ya hadhara....

Mwanamke hulka bibiii!!!

Roho mbaya kusema Zari kizee...!!!
Hivi kuna mtu anakupangia kwako kula maharage/nyama au jinsi unavyolea wanao??
Vipi maisha ya mwenzio yakusononeshe kiasi hicho[emoji23][emoji23][emoji23]
Zari sio mtanzania mwenzio vp kikuume
 
Inapatikana WAP nikachungulie.
Kacheke....
IMG_20180923_114613_350.jpg
 
Hivi kuna mtu anakupangia kwako kula maharage/nyama au jinsi unavyolea wanao??
Vipi maisha ya mwenzio yakusononeshe kiasi hicho[emoji23][emoji23][emoji23]
Zari sio mtanzania mwenzio vp kikuume
[emoji3][emoji16][emoji23][emoji3][emoji3]kama sio mbongo kinakuuma nini sasa...pyeeeeee!!
 
Hizi comments za humu zinaniua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngoja niwe msomaji maana leo ninaemkubali kapumzishwa.
Umeona eeh!pumzika shoga Angu!!
Bibi kizee kawekwa Massa 16 lock up kwa kufoji umri kwenye passport!!

Naskia make up zote ziliisha wacha wazungu waanze kumkimbia wakijua kua ni Michael Jackson [emoji3][emoji16][emoji23][emoji3][emoji3][emoji16][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom