Hatimaye Hamisa Mobetto akubali ile voice note na mganga ni sauti yake

Sio kweli jikazee tuu

Sisi watani ukikeep serious shauri yakoo!!

Pole kwa kukaa cello
Shoga angu sijui wewe mwalimu wa somo gani. Hesabu hujui na english sasa. Cello unajua maana yake??
 
Maisha hayana formula. Wapo hadi wenye miaka 70 wanaenda club sababu kila mtu na style yake ya kuishi hakuna kupangiana. Kupangiana unamlipia wewe kiingilio
Jipe moyo[emoji23] [emoji23] [emoji23] ndo tabu ya kuruka stage hiii.
Mnashikwa shikwa na watoto eti life haina formula

Jikaze mtanii
 
Hamisa wa kawaida saaaaana yaani sioni tofauti na wengine. Yaani wewe ukisimama nae. Mie nachagua wewe. Ukweli kabisa. !!!!
Ukinichagua mie utakua umefanya chaguo sahihi, make nikisimama tu wima unaona umbo langu halisi, ila hamisa hawezi kusimama wima hata siku moja na umbo lake halielweki hasa ni lipi.
 
Tunasubiri Bomu la mange akiamka leooo!!!

Zari anatafuta kick kwa mange maana bday imebumaaa
Birthday imeanza kukiki tangu diamond alivyompost tangu lini mange akatoa kiki kwa zari wewe. Mange anapost na kufuta hajiamini [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Birthday imeanza kukiki tangu diamond alivyompost tangu lini mange akatoa kiki kwa zari wewe. Mange anapost na kufuta hajiamini [emoji23][emoji23][emoji23]
Anafuta sio kwa zari tu hata kwenye post za wengine hakai na uchafu kwenye page yake!!

Kick imebuma

Mtani jikaze sio kwa ubayaa...[emoji3][emoji16][emoji2][emoji3][emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji2][emoji16]!!!
Poleni kwa seloo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…