Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Bado anatafuta kks kwenye huo umri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Bado anatafuta kks kwenye huo umri
Hamisa wa kawaida saaaaana yaani sioni tofauti na wengine. Yaani wewe ukisimama nae. Mie nachagua wewe. Ukweli kabisa. !!!!Mi hamisa namuona wa kawaida, kawaida kabisa....labda angekua anapost picha akiwa bila make up na too much editing ningeona zaidi ya nionavyo.
Nini club, Le mutuz mwenyewe bado anaenda after school bash, na yupo 50s maisha ni kuchaguaMaisha hayana formula. Wapo hadi wenye miaka 70 wanaenda club sababu kila mtu na style yake ya kuishi hakuna kupangiana. Kupangiana unamlipia wewe kiingilio
Tunasubiri Bomu la mange akiamka leooo!!!Mama wa5 anamchamba mange huko insta [emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe jeee[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Anajisifu kazaa na wenye hela
Shoga angu sijui wewe mwalimu wa somo gani. Hesabu hujui na english sasa. Cello unajua maana yake??Sio kweli jikazee tuu
Sisi watani ukikeep serious shauri yakoo!!
Pole kwa kukaa cello
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ukimalize utafute na ankara zakeBado anatafuta kks kwenye huo umri
Jipe moyo[emoji23] [emoji23] [emoji23] ndo tabu ya kuruka stage hiii.Maisha hayana formula. Wapo hadi wenye miaka 70 wanaenda club sababu kila mtu na style yake ya kuishi hakuna kupangiana. Kupangiana unamlipia wewe kiingilio
Ivan alikua mganga toshaa aifate wapi wakati yeye ndo mama mgangaaaHajawahi kuifata kwa mganga
Bado anatafuta kks kwenye huo umri
Hamisa wa kawaida saaaaana yaani sioni tofauti na wengine. Yaani wewe ukisimama nae. Mie nachagua wewe. Ukweli kabisa. !!!!
Mwanae juzi kamchamba baba ake wa 1961 miaka 60 inamnukiaNini club, Le mutuz mwenyewe bado anaenda after school bash, na yupo 50s maisha ni kuchagua
Wikiendi Leo changamsha barazaaAmigo mimi sijui hata mnabishania nini, nimeona tu kosa la kimahesabu.
Ila uzi wenu nimeupenda.
Ukinichagua mie utakua umefanya chaguo sahihi, make nikisimama tu wima unaona umbo langu halisi, ila hamisa hawezi kusimama wima hata siku moja na umbo lake halielweki hasa ni lipi.Hamisa wa kawaida saaaaana yaani sioni tofauti na wengine. Yaani wewe ukisimama nae. Mie nachagua wewe. Ukweli kabisa. !!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nini club, Le mutuz mwenyewe bado anaenda after school bash, na yupo 50s maisha ni kuchagua
Birthday imeanza kukiki tangu diamond alivyompost tangu lini mange akatoa kiki kwa zari wewe. Mange anapost na kufuta hajiamini [emoji23][emoji23][emoji23]Tunasubiri Bomu la mange akiamka leooo!!!
Zari anatafuta kick kwa mange maana bday imebumaaa
Wikiendi Leo changamsha barazaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ujana maji ya moto bibi weeeUkijichagua utakua umefanya chaguo sahihi, make nikisimama tu wima unaona umbo langu halisi, ila hamisa hawezi kusimama wima hata siku moja na umbo lake halielweki hasa ni lipi.
View attachment 875275
Anafuta sio kwa zari tu hata kwenye post za wengine hakai na uchafu kwenye page yake!!Birthday imeanza kukiki tangu diamond alivyompost tangu lini mange akatoa kiki kwa zari wewe. Mange anapost na kufuta hajiamini [emoji23][emoji23][emoji23]
Bora tuhamie pm Amigo mauza uza tu hapa na huyu binti mlogaji tehWeekend ngumu za hivi mara uko kwenye thread hii, mara hii, ili mambo yaende.
Evelyn Salt nakuja PM tutete.