Hatimaye Harmonize ajibu tuhuma zinazomuandama za kumtongoza na kumtumia picha za utupu Paula

Hatimaye Harmonize ajibu tuhuma zinazomuandama za kumtongoza na kumtumia picha za utupu Paula

Mmakonde alitaka kula kuku na yai lake.

Mmanyema akachomoa betri[emoji28]

Sema, hamornize sio wa kulaumiwa.

Inawezekana katoto kalionyesha dalili, akajua nikigusa TU imo.

Kumbe,
Mpenz wake Paula (rayvanny) ametrack mawasiliano ya Dem wake.

Akaiwasilisha kwa mama mkwe, kwa ushahidi usioacha ata punje ya mashaka.
 
Mmakonde alitaka kula kuku na yai lake.

Mmanyema akachomoa betri[emoji28]

Sema, hamornize sio wa kulaumiwa.

Inawezekana katoto kalionyesha dalili, akajua nikigusa TU imo.

Kumbe,
Mpenz wake Paula (rayvanny) ametrack mawasiliano ya Dem wake.

Akaiwasilisha kwa mama mkwe, kwa ushahidi usioacha ata punje ya mashaka.
Mbona ameshakula wote alianza na mtoto
 
WCB wanamchezesha sindimba mmakonde na yeye alivyo mjinga anakubali , wanamtoa kwenye ratiba zake bila yeye kujua , imagine Ibra ametoa wimbo Safi kabisa , kondeboy alikuwa anampush vyema , ametoa na anjela wimbo ndo sakata linaibuka , ghafla bin vuu anapiga chin kumsupport Angela , anaanza kukimbizana nao tena , kaachia wimbo mwingine VIBAYA, huku WCB mambo Yao yanaenda kama yalivyopangwa
 
Hatimaye nyota wa bongo fleva Harmonize almaarufu kama Konde Boy mnyama , ameibuka na kuelezea sintofahamu inayomuandama Kwa sasa kufuatia msanii mwenzake Rayvanny kuvujisha mawasiliano yake ya Faragha na mtoto wa aliyekuwa mpenz wake.

Rayvanny alivujisha mawasiliano hayo huku akimtuhumu vikali Harmonize kuwa kitendo alichofanya ni kinyume cha maadili na hivyo anapaswa kuomba msamaha

Katika kujibu tuhuma hizo Harmonize anaonekana kumlaumu Kajala kwa kuruhusu Jambo hili licha ya wao kutofautiana. Hata hivyo Harmonize anakili wazi shambulizi hili la kuvujisha mawasiliano yake limefanikiwa Kwa asilimia Mia moja , (A perfect and complete Rayvanny Victory ) wazungu wanaongeza kusema kafanyiwa "Excellent Ambush" .....
Wakat haya yakiendelea ikumbukwe pia Harmonize anakabiliwa na tuhuma nzito ya kumtukana na kumtishia kumuua mwanadada presenter Maimartha Jesse.

Kupitia ukurasa wake wa instagram Harmonize anaandika

THIS ONE FROM THE BOTTOM OF MY HEART.....!!!! SIKUZOTE NAHESHIMU NA NITAENDELEA KUMUHESHIMU KILA MWANAMKE ALIEWAHI KUWA KATIKA MAHUSIANO NA MIMI NIUKWELI USIOFICHIKA NILIANZA NA (JACK) THEN (SARAAH) KISHA (KAJALA) KILA 1 KWA WAKATI WAKE ....!!! NA KWA HAKIKA HAWA NDIO WANAWAKE WALIONIFANYA LEO HII NIKAWA (HARMONIZE) KWA PAMOJA TUMEPITIA MAZURI MENGI NA MABAYA PIA ....!!! MARA NYINGI SIZIANGALII TOFAUTI PEKE...!! NAANGALIA ZAIDI NYAKATI ZA FURAHA TULIZO PITIA NDIOMANA SIJAWAHI KUMDHARAU AU KUMUONGELEA VIBAYA YEYOTE KATI YAO ITOSHE KUSEMA NAWAHESHIMU NA KUWATHAMINI NA NAAMINI NI ZAIDI YA MARAFIKI NA NDUGU NIOWAHI KUWA NAO TOFAUTI HUTOKEA MUDA WOTE BILA KUJALI NI ZA AINA GANI AU ZINATOKEA WAPLILA MOYONI NAAMINI HAZIWEZI VUNJA UPENDO TULIO UTENGENEZA KWA MUDA MWINGI MYOYONI .....!!!!! SIKU ZOTE NITAENDELEA KUWAPA KIPAUMBELE KAMA WANAWAKE WENYE NAFASI KUBWA SANAAA UKIACHA MAMA YANGU MZAZI NINGEPENDA KUWAONA WENYE FURAHA ILI HATA KESHO NA KESHO KUTWA TUJE KUZIKANA MAAANA HAKUNA AIJUAE KESHO YAKE ....!!!!! NAAAMINI KUACHANA NI MWISHO TU WA MARIDHIANO KUTOKANA NA SABABU HUSIKA LAKINI SIO VITA WALA UHASAMA ...!!!! AU CHANZO CHA KUDHALILISHANA NA NINGEPENDA KUONGEA ZAIDI KUHUSU (K) ....!!!!!! AMBAE NAWEZA SEMA NDIO MTU WA MWISHO KUMILIKI MOYO WANGU ...!!! LEO TUPO WAZIMA LAKINI HAKUNA ANAEIJUA KESHO HAINA SABABU YA KUONYESHANA NANI NI ZAIDI NANI, KAUMIA , AU NANI KAKOSEA ZAIDI, KULIKO MWINGINE KWANI HAINA MAANA YEYOTE LAKINI PIA NI KUWAPA USHINDI WATU WALIOKUWA WAKIPAMBANA KUONA HAYA MAHUSIANO HAYAPO TENE...!!!!!! KAMA ILIVYO ADA NITAENDELEA KUKUHESHIMU NA KUKUOMBEA MAFANIKIO MEMA UMEKUWA MTU MZURI KWANGU HUSUSANI KWA KIPINDI TULICHOKUWA PAMOJA ..!!! KWAKUWA MIMI SIO MTU WA KUELEZA ELEZA SANA ILIKUWAJE IKAWAJE NAFUNIKA KOMBE MWANA HARAMU APITE LAKINI PIA NIWASHUKURU ENGINEERS WOTE MLIOFANIKIWA KULIKAMIRISHA HILI ....!!! DAT WAS GOOD PLAN NA IMEFANIKIWA ....!!!!! ILA NIOMBE TU IWE KWA AMANIII ...!!! ISIWE #VIBAYA ....!!!!

Sambamba na hayo Harmonize ameachia wimbo kuelezea mkasa wake huo, wimbo unaitwa "VIBAYA"
Maisha bana

Ila ray kaumia sana kugundua mmakonde alipita na paula kitambo kabla ya juzi kutoka na mama yake...
 
Na unaweza kushangaa Paula ndo akaja kufanikiwa kuliko huyo mwandishi wa makaratasi ..... Mungu bhana [emoji23] haelewekagi ......!!!
Masihara haya mdau sio bongo hii ingekua mbele huko sawa

Only kim alitoboa kupitia kashfa ya ngono
 
ngoja tuone mwisho wake, ila kwa yeyote anayetumia akili hili zengwe limeundwa/engineered by WASAFI..itakua kama East and West coasts groups wanavyochukiana mpaka kuuana.....upuuzi mtupu mnaoufanya wasafi clasic baby.....
 
ngoja tuone mwisho wake, ila kwa yeyote anayetumia akili hili zengwe limeundwa/engineered by WASAFI..itakua kama East and West groups wanavyochukiana mpaka kuuana.....upuuzi mtupu mnaoufanya wasafi clasic baby.....
Hyo baby ulivyoitaja 😂 nimevuta pumzi mpak kwenye unyayo😀 (Wasafi classic beibeeee) wababe wa bifu mjini , washafight na akina Davido huko.... Na Kwa taarifa Tu mtu wako kuna video yake ya ngono live live ipo kwenye galley pale next level music ....inasubiririwa perfect time to strike....
 
Back
Top Bottom