Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,154
- 31,246
Hata mimi naona kabugi yani naona ni sawa kakubali kuwa tuhuma ni za kweli ndiyo maana kujitetea kashindwa. Dawa angepiga kimyaSasa hapa hamo ndio umeharibu kila kitu, ulitakiwa ukae kimya uendelee na mambo yako kwa hili umebugi.