Hatimaye Harmonize ajibu tuhuma zinazomuandama za kumtongoza na kumtumia picha za utupu Paula

ngoja tuone mwisho wake, ila kwa yeyote anayetumia akili hili zengwe limeundwa/engineered by WASAFI..itakua kama East and West groups wanavyochukiana mpaka kuuana.....upuuzi mtupu mnaoufanya wasafi clasic baby.....
Hilo kundi lina mambo ya ajabu sana mwanzo nilikuwa nalikubali sana sahiv.naanza.ku lose interest nao.badala ya kupambana na muziki bado wanahangaika na yule mmakonde

Yaani tz tunapenda udaku sana
 
sio vizuri wanavyofanya... 😡 😡
Kuna video zake tatu kama sikosei nne....!! Yaani konde boy alijichanganya kabisa 😂😂 tunasubiri Tu afurukute tupige kombora moja tunasikilizia , akifurukuta tena tunaachia nyingine ,😂 awe mpole tuu right now ....
 
halafu baada ya kumaliza hio video nne,mtafanya nini tena,i'm curious to know..au mtaendelea kutengeneza video nyingine?..Pathetic
 
halafu baada ya kumaliza hio video nne,mtafanya nini tena,i'm curious to know..au mtaendelea kutengeneza video nyingine?..Pathetic
Tunatengenezaje sasa wakat za kwake jaman kaamua kutusogezea , nasi tunampa kitu roho inademand😀 ni kijana wetu tunamjua , aache kuongea ongea sana...
 
Tunatengenezaje sasa wakat za kwake jaman kaamua kutusogezea , nasi tunampa kitu roho inademand😀 ni kijana wetu tunamjua , aache kuongea ongea sana...

Pigeni mziki acheni uduanzi, wangapi wanaongea ongea na hamuwatengenezei video fake?
 
Pigeni mziki acheni uduanzi, wangapi wanaongea ongea na hamuwatengenezei video fake?
Video fake 😂😂😀😀😂 ??? Ishia Tu sentesi ya Kwanza neno fake usiweke kabisa , konde boy mwenyewe anaelewa nini amefanya na Kajala kwenye mahotel na ujinga ujinga thus why kakili wazi wabaya wake this time wamempata ... Na anajuta kumwacha Sarah
 
Wasanii wa Bongo hawana akili kama mimi tu.
Wasoma nyuzi zangu watanielewa🤣🤣🤣
 
SIKU ZOTE MAISHA BINAFSI KUYAFANYA YA KITAIFA,MWISHO WAKE NI KUUMBUKA TU. KWENYE HALFA ZA MAKAPUNI MLIKWENDA WOTE, KWENYE MEDIA MLIKWENDA WOTE, SHOPPING MLIKWENDA WOTE. YAKO WAPI SASA?? HAIKUWA KUUMIZA WATU NI KUJIUMIZA NINYI.

ETI KUNA WATU WANAMUONA JAMAA KIDUME!!! KIDUME KWA KUTEMBEA NA "KIBIBIJITU" KUNA WENZIO WALITUMIA WEEEE WAKAACHA KISHA MSHAMBA ANAJIONA MJANJA. AMINI KUNA WATU WAKO KWENYE MAHUSIANO NA WANAFURAHIA SANA KIMYA KIMYA.
 
Harmonize kala mtu na mwanaye Hahahaha ila wamakonde kmmk wanatamaa
 
Kwanza mond kapiga Kwa Kajala pale ....ni ngumu Sana mpita njia kama harmonize kumfanya Kajala amuendeshe ili kupata public attention .... Mwisho wa sku amemgaragaza vibaya Sana...
 
Si watoe tamthiliya tu...

Maana Sarah kuachana na Harmonize...ulikuwa mpango wa WCB tokea enzi za Mwarabu...

Kajala kuwa na Harmonize...nao ni mpango wa WCB kumbomoa kijana wa Chitoholi...Kwa wanaomjua Kajala toka akisumbua enzi yupo primary Mbuyuni na mitaa yote ya O'bay kota, yule Mmakonde sio type yake kabisaaaaa
 
Iv msanii kama Davido au Wizkid anaweza kuandika iv kwel?afu mtu anajiita msaniii mkubwa Africa,kibongobongo bdo sanaaa
 
Na unaweza kushangaa Paula ndo akaja kufanikiwa kuliko huyo mwandishi wa makaratasi ..... Mungu bhana 😂 haelewekagi ......!!!
Kwakweli siku hizi maisha hayana formula. Ile mambo ya soma uje ukomboe familia siku hizi haina guarantee
 
Ukweli alienda kula vipesa vyake asiwasingizie watu.
Anacheza na watoto wa mjini wakati bado ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…