Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Timu inayotokea Tanganyika unataka mechi yao ipelekwe Nchi nyingine ili kuzuia mashabiki wa mikoa mingine kuhudhuria kwa faida ya nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Michuano ya Caf ni ya Muungano?Msiingize siasa zenu za kichadema na kimuungano kwenye mpira...
vipi kama angesema wataomba iwe kenya ama uganda..?? Hoja ingekuwa nnMichuano ya Caf ni ya Muungano?
Sababu za huo ujinga ni zipi? Halafu uliona wapi Timu za Tanganyika zikachezea michuano ya CAF nchini Zanzibar, kwa lipi?vipi kama angesema wataomba iwe kenya ama uganda..?? Hoja ingekuwa nn
Acha kukariri, mara ngapi timu hubadilisha viwanja tena ambavyo vipo nchi nyinginezo, mfano timu kutoka sudan, Ethiopia, libya, na kadhalikaSababu za huo ujinga ni zipi? Halafu uliona wapi Timu za Tanganyika zikachezea michuano ya CAF nchini Zanzibar, kwa lipi?
Zanzibar ni Afghanistan?Michuano ya Caf ni ya Muungano?
Sababu zao zinajulikanaMbona haushangai timu za nje kutumia uwanja wa Azam FC kuwa uwanja wao wa nyumbani?
Sababu zao ziko waziUnaleta chuki za kichadema kwenye mpira? Mbona vitalo kaja kutumia uwanja wa Tz kucheza game yake ya nyumbani?
Nadhani shida kubwa ni kutokana na uwanja wa Mkapa kutoruhusiwa kutumika kwasasa ndio maana wameomba uwanja wa Amani badala ya wa Azam complexSababu za huo ujinga ni zipi? Halafu uliona wapi Timu za Tanganyika zikachezea michuano ya CAF nchini Zanzibar, kwa lipi?
Naunga mkono hojaSiku cdm ikichukua hii itatugawanya vipande vipande,cdm ni wadini na wabaguzi wa kikanda vibaya mno!
Huna hojaSiku cdm ikichukua hii itatugawanya vipande vipande,cdm ni wadini na wabaguzi wa kikanda vibaya mno!
Wewe ndio huna hojaHuna hoja