Hatimaye Hersi Said alewa madaraka

Hatimaye Hersi Said alewa madaraka

Leo ka Red cell kamazingua sana! Kanaingiza siasa za CHADEMA kwenye soka? Zanzibar nako kuna mashabiki wa Yanga! Namwunga mkono Eng Hersi! Uzuri mashabiki wa Bara wana uchumi mzuri kuliko wa visiwani hivyo wataende tu kwa gharama zao na uwanja utajaa!
Mtoa mada fala tuu
 
Uwanja wa Mkapa hautumiki kwenye mpira Ila unatumika mashindano ya quraan hapo ndio utaona Mzee Magoma yupo sahihi.
Watu wanafanya maamuzi kwa faida zao binafsi kwa sababu tu wanaweza kukwepa Kodi.
Kwahiyo Hersi ndiye mwenye maamuzi kuhusu uwanja wa Mkapa? Kumbe saa zingine akili zako fyatu kiasi hiki? Hujui kama Mechi ya marudiano kati ya Yanga na Vital 'O' Yanga waliomba iwe uwanja wa Mkapa lakini ikashindikana ikabidi warudishe kule kule Azam complex sasa unaposema unatumika kwa Quran unataka uongozi wa Yanga ulazimishe uwanja wa Mkapa hata kama wamezuiwa kutumia? Wewe unadhani Simba wameenda kuitumia kiwanja kidogo cha KMC kama uwanja wao wa nyumbani kwa kupenda? Kwani wao hawataki kuutumia uwanja wa Mkapa? Tumia akili acha mihemko ya kiushabiki
 
Hii mada ukijadili kishabiki huwezi kielewa, Kama timu za Zanzibar zilicheza ugenini kwanini za bara zikacheze Zanzibar ?
Nilisahau huko Wenye akili ni wawili .
 
Timu za Zanzibar zilicheza ugenini kwa kupenda wenyewe kwasababu uwanja wa Amani haukuwa na shida yeyote kutumika na Zanzibar hakuna machafuko. Naomba unipe jibu kuhusu uwanja wa Mkapa je umeruhusiwa kutumika?
Jambo la pili unajua historia ya Yanga haiachani na Zanzibar kupitia raisi wa Zanzibar (Karume) kwa kipindi hiko? Kule Zanzibar pia kuna mashabiki wengi sana wa Yanga kama hulijui ndio ujue
 
Kwenye hii mada hata sielewi niegemee wapi!! Maana mimi ni Mtanganyika nisiyeikubali Zanzibar kwa namna yoyote ile.
 
Mkuu wazanzibar wana mapungufu yao lakini kwenye swala la Yanga, kule Zanzibar inapendwa sana na Yanga ina historia yake na wazinzabar

Timu za Zanzibar zilicheza ugenini kwa kupenda wenyewe kwasababu uwanja wa Amani haukuwa na shida yeyote kutumika na Zanzibar hakuna machafuko. Naomba unipe jibu kuhusu uwanja wa Mkapa je umeruhusiwa kutumika?
Jambo la pili unajua historia ya Yanga haiachani na Zanzibar kupitia raisi wa Zanzibar (Karume) kwa kipindi hiko? Kule Zanzibar pia kuna mashabiki wengi sana wa Yanga kama hulijui ndio ujue
Kama matamasha ya Simba na yanga yakifanyika. Uwanja wa Mkapa, mechi A Simba na yanga ulifanyika Mkapa kwanini wazuiwe kufanyika mashindano ya kimataifa.
Unaleta habari za historia ya yanga na Zanzibar vitu ambayo havihusiqni kabisa, wao Wana ligi yao na shirikisho lao watengeneza Simba na yanga yao.
 
Aliyemleta Samia huku tanganyika ni kikwete GSM ni kikwete hamuelewi wapi
 
Kama matamasha ya Simba na yanga yakifanyika. Uwanja wa Mkapa, mechi A Simba na yanga ulifanyika Mkapa kwanini wazuiwe kufanyika mashindano ya kimataifa.
Unaleta habari za historia ya yanga na Zanzibar vitu ambayo havihusiqni kabisa, wao Wana ligi yao na shirikisho lao watengeneza Simba na yanga yao.

Uwanja upo kwenye matengenezo umezuiwa kutumika, mbona unauliza maswali kama mtu mgeni na mpira wa miguu wa Tanzania? Hivi lini umeona Yanga waka opt kuutumia uwanja wa Azam complex huku uwanja wa Mkapa upo huru kutumika? Yanga mechi zao za nyumbani hupenda kutumia uwanja wa Mkapa, ukiona wameenda Azam complex ujue uwanja wa Mkapa wamezuiwa kuutumia. Uwe unafikiria kwanza.

Zanzibar hawana haja ya kutengeneza Simba yao na Yanga yao bali Simba na Yanga zipo kwaajili ya kupendwa na kila mtu ulimwenguni kote na ndio soka lilivyo. Hivyo sio dhambi wala kosa umati wa wazanzibar wakaipenda Simba au Yanga na hivyo hivyo sio dhambi wala kosa umati wa waafrika kusini kuipenda Yanga au Simba. Timu za mpira mtaji wao ni mashabiki haijalishi wanatokea Israeli au Palestina.
 
Kuna uwanja wa Kmc vizuri vya bara mnavipenda
 
CAF wana vigezo vyao vya uwanja kutumika kwa mashindano yao sio ilimradi uwanja tu. Ingekuwa wanaruhusu kila uwanja basi usingeona timu za kutoka Djibouti na Burundi wanakuja kuomba kuchezea Azam complex. Mbona unatoa hoja za kitoto hivyo.
 
Watengeneza Simba na yanga yao.
Mkuu chuki yako na wazenji umeihamisha hadi kwenye mpira wa miguu. Manchester united ipo uingereza lakini ina washabiki hadi bongo. Kwanini umechukulia kama kosa kwa wazanzibar kuzipenda hizi Simba na Yanga? Una chuki mbaya na umezionesha wazi wazi.
 
Back
Top Bottom