Hatimaye Hersi Said alewa madaraka

Hatimaye Hersi Said alewa madaraka

Hilo atalifanya na familia yake.... Huo upuuzi asijaribu. Zanzibar wana timu zao wapeleke mechi zao, hapo ndio atajua watu wa yanga sio wahovyo hivyo.
 
Nadhani shida kubwa ni kutokana na uwanja wa Mkapa kutoruhusiwa kutumika kwasasa ndio maana wameomba uwanja wa Amani badala ya wa Azam complex
Uwanja wa Mkapa hautumiki kwenye mpira Ila unatumika mashindano ya quraan hapo ndio utaona Mzee Magoma yupo sahihi.
Watu wanafanya maamuzi kwa faida zao binafsi kwa sababu tu wanaweza kukwepa Kodi.
 
Sioni tatizo lolote. Yanga ni timu ya Tanzania, Unguja ni sehemu ya Tanzania. Ni sawa na kupeleka mechi Kirumba Mwanza tu
Tz wajinga hawawezi kuisha, suala la mpira sio suala la muungno eboo!!, Zanzibar wana uwakilishi wao CAF. Ni ajabu na upuuzi wa kiwango Cha juu!. Na nikudharau mashabiki na wanachama.
 
Acha kukariri, mara ngapi timu hubadilisha viwanja tena ambavyo vipo nchi nyinginezo, mfano timu kutoka sudan, Ethiopia, libya, na kadhalika
Bila sababu za kutokizi vigezo?, hizi akili mnazitoaga wapi maana ni uchafu kabisa.
 
Acha kukariri, mara ngapi timu hubadilisha viwanja tena ambavyo vipo nchi nyinginezo, mfano timu kutoka sudan, Ethiopia, libya, na kadhalika
Huwa wana changamoto kwenye nchi zao, je, wewe Yanga una changamoto gani?
 
vipi kama angesema wataomba iwe kenya ama uganda..?? Hoja ingekuwa nn
Hapo huyo kiongozi anakuww ni tahira!, yaani utoe mechi ambako ndiko Kuna fans base upeleke Kenya au uganda bila sababu?.
 
Hapo huyo kiongozi anakuww ni tahira!, yaani utoe mechi ambako ndiko Kuna fans base upeleke Kenya au uganda bila sababu?.
Kwanza huyu Hersi kwao ni wapi?
 
Ila Simba na Yanga zinawakilisha Tanganyika na sio Tanzania
 
Back
Top Bottom